Elections 2015 Team Magufuli tukutane hapa tushangilie ushindi!

I appreciate kazi nzuri ya JINGALAO.. MWANADIWANI and Mr CHIN...... you guys were the stars..... I salute you guys..... mlikuwa mnapambana na kundi la maharamia 160 ambao full time walikuwa wako online wakitumia AVTAR tofauti tofauti lakini mliweza kuwabana nisha...... NIMEMALIZA KAZI YANGU KANDA YA ZIWA ....narudi katika maisha yangu ya kawaida na sitasikika mara kwa mara tena kwenye huu ulingo...I will miss you guys big time!

MwanaDiwani alipambana sana yaani majukumu ya jukwaani na mtandaoni ili kuwaletea watanzania kilicho bora
 
Last edited by a moderator:
Kweli tujipongeze na kuwapongeza waliopigana kiume mpaka rais wetu kuingia magogoni.
 
Ni wazi ndani ya JF kulikuwa na battle kubwa ya kushawishi umma nani ni nani kati ya Rais mteule Magufuli na mshindwa Lowassa.

Team Magufuli kwa kifupi iliwakilishwa na

mimi mwenyewe, MwanaDiwani Mr Emmy Mr Chin na @kwedi kwezu

nawaalika wote tuje kushangilia ushindi
Faiza Foxy huwezi kumuacha katika kundi hili. Yeye alikuwa jembe langu ktk kupambana na mazombie.
 
Last edited by a moderator:
mulifanya kazi nzuri sana,mujikusanye kesho nikawambulishe kwa muheshimiwa pale ikulu
 
Naona tutaendelea kusheherekea kwa miaka mitano na zaidi
 
Imani hujenga imani team magufuli tuliamini kwa mh.raisi kwa yote yale aloyatenda na kusema na anaendelea kujenga imani kwa watanzania na kuthibitisha alokuwa akisema bravo raisi tunaaminia songa mbele umma upo nawe
 
Back
Top Bottom