Elections 2015 Team Magufuli tukutane hapa tushangilie ushindi!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,242
Ni wazi ndani ya JF kulikuwa na battle kubwa ya kushawishi umma nani ni nani kati ya Rais mteule Magufuli na mshindwa Lowassa.

Team Magufuli kwa kifupi iliwakilishwa na

mimi mwenyewe, MwanaDiwani Mr Emmy Mr Chin na @kwedi kwazu

nawaalika wote tuje kushangilia ushindi
 
Last edited by a moderator:
Ni wazi ndani ya JF kulikuwa na battle kubwa ya kushawishi umma nani ni nani kati ya Rais mteule Magufuli na mshindwa Lowassa.

Team Magufuli kwa kifupi iliwakilishwa na

mimi mwenyewe, MwanaDiwani Mr Emmy Mr Chin na @kwedi kwezu

nawaalika wote tuje kushangilia ushindi
HAPA KAZI TU,ikulu ni mahala patakatifu,Magufuli Oyeee,CCM Oyeee
 
Ni wazi ndani ya JF kulikuwa na battle kubwa ya kushawishi umma nani ni nani kati ya Rais mteule Magufuli na mshindwa Lowassa.

Team Magufuli kwa kifupi iliwakilishwa na

mimi mwenyewe, MwanaDiwani Mr Emmy Mr Chin na @kwedi kwezu

nawaalika wote tuje kushangilia ushindi

Wapi maana hata mimi BADO MMOJA NILIKUWA FRONT LINE KUSHAMBULIA TEAM FISADI
 
I appreciate kazi nzuri ya JINGALAO.. MWANADIWANI and Mr CHIN...... you guys were the stars..... I salute you guys..... mlikuwa mnapambana na kundi la maharamia 160 ambao full time walikuwa wako online wakitumia AVTAR tofauti tofauti lakini mliweza kuwabana nisha...... NIMEMALIZA KAZI YANGU KANDA YA ZIWA ....narudi katika maisha yangu ya kawaida na sitasikika mara kwa mara tena kwenye huu ulingo...I will miss you guys big time!
 
Ni wazi ndani ya JF kulikuwa na battle kubwa ya kushawishi umma nani ni nani kati ya Rais mteule Magufuli na mshindwa Lowassa.

Team Magufuli kwa kifupi iliwakilishwa na

mimi mwenyewe, MwanaDiwani Mr Emmy Mr Chin na @kwedi kwezu

nawaalika wote tuje kushangilia ushindi

Wameisoma namba CCM mbele kwa mbele.Magufuli hoyeeeeeeeeeee Lowasa ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mnasherehekea lakini mtaisoma namba wakati wenzenu wanatanua na pesa zenu. Unajua mwenye kipato cha chini, asiye na kazi, wagonjwa wanaoshindwa hata hela ya kumwonea daktari, wanoshindwa mlo mmoja kwa siku ndiyo watakayoisoma namba na ushindi huu. Sisi tuko poa.

Back
Top Bottom