Team Lowassa waendelea kuumbuka. Sasa wamwita Lawrence Masha kuokoa jahazi

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,372
Wadau, amani iwe kwenu.

Kama mnakumbuka ni kwamba zilivuja taarifa za Team Lowasa kutumia Hoteli ya Nam ambayo inamilikiwa na fisadi Lowasa kupanga mikakati ya kudhuru watu endapo Lowasa atakatwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM.

Taarifa mpya ni kwamba Timu hiyo imehamisha harakati zake kutoka Hoteli ya Nam hadi Twiga Hotel/Giraffe ambayo ipo njia ya kuelekea mnadani. Kwa sasa hoteli hiyo ya Nam wamebaki waganga 10 ambao anawatumia Lowasa kumuandaa kwa nguvu za giza ili aweze kuteuliwa japo kuingia hatua ya tano bora. Inaelezwa kuwa waganga hao wametoka mkoa wa Kigoma. Sambamba na waganga hao, yupo pia Hussein Bashe ambaye anaratibu kwa karibu shughuli za waganga hao pamoja na masuala mengine ya kiutawala.

Katika hatua nyingine, kundi hilo ambalo kazi yake ni kupanga mikakati ya kuondoa amani nje ya ukumbi wa mikutano wa CCM limemteua kiongozi mwingine kushika nafasi ambayo alikuwa anaifanya Hussein Bashe. Nafasi hiyo kwa sasa amepewa Laurence Masha ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kabla ya kumwagwa kwenye uchaguzi uliofanyika mwaka 2010. Laurence Masha amewasili leo Dodoma tayari kuendelea pale ambapo ameishia Bashe. Sababu ya Masha kuteuliwa kushika wadhifa huo ni kutokana na uzoefu aliopata akiwa Waziri.

Sambamba na mabadiliko waliyofanya kwa uongozi wa juu wa Timu ya Magaidi, Team Lowasa pia imefanya mabadiliko ya mtunza fedha. Nafasi hiyo ilikuwa inashikiliwa na Kivuyo. Hata hivyo Kivuyo alikuwa hawalipi vijana wake hali iliyosababisha vijana wa 4U MOVEMENT kugoma. Nafasi hiyo kwa sasa inashikiliwa na Robert Kisangi ambaye anatumia namba ya simu 0763202941. Kisangi amefikia Sammit Hotel barabara ya Dar es Salaam karibu na kituo cha Daladala cha Meliwa.

Kisangi pia anafanya kazi kwa karibu na jambazi sugu Jumanne Mjusi mkazi wa Arusha ambaye ndiye anayepanga mikakati ya kukusanya vijana wa kutoka mkoa huo na kuwasafirisha kwenda Dodoma tayari kwa kulianzisha ikiwa mwana wa kwao atakatwa. Inadaiwa kuwa jambazi huyo kakodi silaha za moto za kutosha kutoka kwa majambazi wenzake wa Arusha na kwingineko na silaha zitakazotumika ni Bastola kwa vile zinabebeka kwa urahisi.

Wadau, hakika wakati siku zinakaribia ili Lowasa aangue kilio, wafuasi wake wanazidi kujiumbua na sasa wanapoteza umakini kupita maelezo. Kwa sasa ni rahisi sana kupata habari zao na wamekuwa wakoropoka hovyo as if wamekunywa viroba. Nitaendelea kuwajuza kwa kadri nitakavyopata habari mpya.
 
Mwaka huu mpaka wataita mizimu ije kuwasaidia naona rushwa pekee haifui dafu kwakweli.
 
Lizaboni msilaumu hata mama yake yuko hivyo hivyo,damu siku zote haifuti makorongo inafuata mishipa.naona lowasa anawaumiza sna watu roho ndo hivyo lakini ashatoboa
 
UKAWA ndio habari ya Mjini, hakuna team lowasa wala team kucheeee...membe...ikifika 25.10.2015 CCM ndio mtajua nini maana ya NGUVU YA UMMA...through UKAWA...na hapo ndipo mishumaa ya mwanga wa milele itawashwa...kuwaombea kwa Mungu akawapumzishe kwa Amani...Mark my words!
 
Hivi wewe Lizaboni sijui Matalawe Lowassa akipitishwa kupeperusha bendera ya sisiemu utahamia UKAWA au...??
 
Jambazi sugu na fisadi papa kamwe hawezi kuwa rais wa tz. Uwezo wa lowasa ni kuongoza ng'ombe sio watu. Kifupi lowasa ni mhuni.
ILA SAFI SANA WALIOKARIBU WATAFAIDI SN UFISADI WA LOWASA KWANI SASA YUPO KINUNUA WATU
 
Back
Top Bottom