Upo dodoma..kama upo tight jaribu pale Huruma sec watakuonea huruma tu na wanalipa poa tu.
test pia hapo Martin Luther sec au hapo Central sec.
jaribu hapo merriwa sec
Nimesoma BA(Ed) major in English language & Literature. Natafuta part time job. Mawasiliano smzengo@yahoo.com,, nipo Dodoma.
Cheki pale udom,wanahtajk Ma TA.
kama utaitaji shule maeneo ya DSM niPM
mkuu matumbo mnalipa sh ngapi? Mi nafundisha masomo ya sayansi,niPM bas tuongee
tafuta mzazi jira za ualimu ziko kibao hapo Dom kuna shule kibao za kata afu zin uhitaji mkubwa sana wa walimu. pia skul kama Hijra na Jamhuri nenda pale ukale shavu
kaka usisaha kusali unapo tuma cv zako
ila jaribu ustawi wa jamii zipo post