PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,724
Nimekuwa nasikiliza documentaries mbalimbali za kuhusu hii Organisation inaitwa Tea-Party-Movement.
Yaonyesha org hii tishio sana kwa Prez Obama, maana kwa kiasi kikubwa wanaonyesha kuwa na madai kwamba walifanya makosa makubwa sana kumchagua kuwa rais wa America. Lakini zaidi wanachoboa, wanamlaani kwa rangi yake na si kwa uwezo.
Mbali ya hivyo, Tea Party , kwa kura za maoni inaonyesha kupendwa zaidi na natives wengi wa America kulinganisha na vyama vya Democrat na Republican percentage-wise.
Inaaminika kwamba kwa siku za usoni movement hii huenda ikawa chama cha siasa chenye nguvu sana!
http://www.examiner.com/x-4501-Apoc...Tea-Party-movement-aims-to-inspire-revolution