mikedaniel
Member
- Apr 6, 2017
- 21
- 6
Hivi kurisit mtihan ni lazima urisit masomo yote ( 2017/2018)
Duuh Cyo kuanxia matatuInavosemekana kwa sasa atleast masomo saba
2.9 g. P. A mkuu from water institute wdmi ubungo majiAlikua na GPA ngapi na kamaliza chuo kip mkuu????
It's 2.9 instead of 3.0 at water institute ubungoWakuuu habar zenu,
Ninaomba ushaur wenu
APA Nina kijana wangu aliingia chuo kutoka form four, akamaliza diploma yake ya ufundi sanifu katika chuo cha serikal sasa kwa bahati mbay hakufikia G. P. A ya 3.0 inayoitajika na mh. Ndugu ndalichako
Je kutokana na mfumo huu mpya wa admissions na qualifications walizotoa, je, anaweza kupata chuo aendelee na programs za degree?? Au LA afanyaje msaada plseView attachment 513952
Ilitokea2 mkuuIla kwa nini alikua hasomi...... Angejitambua kwamba chuo ni sehemu ya kupitia asingekusumbua wewe kuja huku vijana BUANA BUANA
Ni kweli kulia ni sehemu ya maisha, lakini kama unaweza kuepuka kulia kwa nini ulie?Kulia nako ni sehemu ya maisha
Thanks but ni mgeni humuUnareseat yale uliyofeli tu. Lakin ni vema ungepost kwenye jukwaa la elimu. Sor kama ntakua nimekukwaza.
Thanks kwani kuna MTU alinambia lazima urisit kuanzia 7 mwaka huu ndo mana nikaulizaNi vizuri ukarist masomo zaidi ya moja kama vile 3,4 na kuendelea Ili uwe na chance kubwa ya kupata credit.kurist hawakulazimish hata somo moja unaweza lisiti.