thubutu juzi mkurugenzi wa bodi ya mkopo alihojiwa akasema hawafungui mpaka mwakani so kuhusu hii kitu sahauishu ya mkopo nafikili wanaweza kufungua dirisha tena
Kama ulikuwa na GPA ya 3.5 maana yake utakuwa umepata, kama ilikuwa chini ya hapo omba upya, ANGALIZO: Nafikiri kwenye account yako unaweza kuona status yako.Kweli wamefanya fair ila sasa hata hawajatoa majibu ya diploma walioomba mwanzo tunajuaje kama tumepata au tumekosa ili tu re-apply?
Kwenye account naona bado wameweka neno system is current running for selectionKama ulikuwa na GPA ya 3.5 maana yake utakuwa umepata, kama ilikuwa chini ya hapo omba upya, ANGALIZO: Nafikiri kwenye account yako unaweza kuona status yako.
teh...teh....teh....majanga kweli kweli hv kama ile formu ulikuwa nayo imekamilika hukuituma ukiituma sasa inaweza kupokelewa?thubutu juzi mkurugenzi wa bodi ya mkopo alihojiwa akasema hawafungui mpaka mwakani so kuhusu hii kitu sahau
Minimum enry na umasikini kunamahusiano ghan kwa mfano.Tumeona TCU walivoshusha gpa kwa ajili ya addition ya wahitimu wa dip kwenda degree from gpa of 3.5 na 3.0, naona sasa Ni muda muafaka wakatufikiria pia sis wa form 6 washushe from point 4 atleast mpaka 3.0 min ili nasisi watoto wa masikini tuweze kwenda chuo, nawasilisha natumaini wapo
Tumeona TCU walivoshusha gpa kwa ajili ya addition ya wahitimu wa dip kwenda degree from gpa of 3.5 na 3.0, naona sasa Ni muda muafaka wakatufikiria pia sis wa form 6 washushe from point 4 atleast mpaka 3.0 min ili nasisi watoto wa masikini tuweze kwenda chuo, nawasilisha natumaini wapo
Nenda karudie pepa weweDunia nzima inajua principal za kuingia chuo ni E mbili
Sasa hizi D mbili sijui zimetoka wapi
Wangesota kitaanaona watu kidogo presha na stress zimeshuka kimtindo manaaaake daaaa ilikuwa ni kusikilizia tu no direction
Basi na Form 6 alama zishushweKWA WALIOSOMA DIP YA UALIMU NA KUPIGA MTIHANI WA NECTA HIYO 3.0 SI MCHEZO LABDA WALE WALIOPITIA MFUMO WA NACTE NI RAHISI KUIPATA.
MI NASHAURI KWA WENYE DIPLOMA YA UALIMU WA NECTA WAWAACHIE 2.7 YAO TU