TCU watangaza kufungua dirisha la udahili wa Wanafunzi kuanzia leo Jumatatu ya Julai, 12

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,546
1626087817645.png

Katibu Mtendaji wa Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa, ametangaza kufungua dirisha la udahili wa wanafunzi kuanzia leo Jumatatu Julai 12, 2021 kwa wanafunzi watakaojiunga na vyuo vikuu mbalimbali nchini Tanzania.
 
Back
Top Bottom