TCU waongeza muda wa maombi kwa ajili ya kozi moja ya MUHAS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCU waongeza muda wa maombi kwa ajili ya kozi moja ya MUHAS

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Salary Slip, Sep 10, 2012.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,965
  Likes Received: 37,516
  Trophy Points: 280
  TCU wameongeza muda mpaka trh 17/09/2012 kufuatia ombi maalimu kutoka MUHAS kuwa wanahitaji wanafunzi kwa ajili ya kozi ya environmental healh scince.Ni wazi kozi hiyo imekosa watu.

  Sasa swali hii mikopo itatoka lini kama kila siku ni kuongeza muda tu.

  Inaboa mno.

  Tembelea site ya TCU uone tangazo hilo jipya.
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Huu ni ukichaa usiokuwa na kipimo... inamaana hawakuona mwanzoni kwamba kulikuwa na available slots katika hiyo course..sasa tuone watapata wapi hao watu wakuaply hiyo course..nyambaf
   
 3. Charles Elias

  Charles Elias Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Inaombwaje hyo jaman mbona nmeipenda? Ila niko admitted Duce cjui inawezekana kuapply hiyo kitu! Nsaidien jaman wana jukwaa.
   
 4. songoros

  songoros Senior Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  kumbuka ni non priority
   
 5. Charles Elias

  Charles Elias Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  duu halaf cost n 1500000! Bac hii c saiz yangu ila kama kuna jins ya kuapply tafadhar nsaidien.
   
Loading...