First selection nilikosa nikajaribu secound round nikawa admitted,nimeangalia kwenye website ya chuo nilichoomba nimekuta tayari majina ya secound round selection yapo,nikachukua jukumu la kupiga tcu jibu walilonipa ni kwamba majina ya secound round hatujawatumia bado.NDUGU ZANGU HAPA IMEKAAJE.