TCU VIJANA WANASUBIRI CODE

mwanahabari93

JF-Expert Member
May 20, 2015
263
169
TCU ilitangaza ingetuma code kwa wanafunzi walio dahiliwa na vyuo zaid ya kimoja.. Kwa njia ya sms ili waweze kuchagua au kuthibitisha ni chuo gani wanaweza kujiunga navyo lakini TCU haijaweza kutuma code hizo hadi sasa... Na zoezi hilo kwa taarifa iliyotolewa na TCU kuwa zoezi hilo linafungwa tarehe 5(kesho)... NATUMAINI TCU INAJUA INAFANYA NINI KWAHIYO WANAFUNZI MSIWE NA WASIWASI MUNGU AWABARIKI
 
TCU ilitangaza ingetuma code kwa wanafunzi walio dahiliwa na vyuo zaid ya kimoja.. Kwa njia ya sms ili waweze kuchagua au kuthibitisha ni chuo gani wanaweza kujiunga navyo lakini TCU haijaweza kutuma code hizo hadi sasa... Na zoezi hilo kwa taarifa iliyotolewa na TCU kuwa zoezi hilo linafungwa tarehe 5(kesho)... NATUMAINI TCU INAJUA INAFANYA NINI KWAHIYO WANAFUNZI MSIWE NA WASIWASI... NA MUNGU AWABARIKI

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ata ivo mi nimetumiwa text lkn code haipo ss sielew mustakabali wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom