shelumwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 516
- 189
Kuna taarifa ipo TCU inayohusu wanafunzi ambao wamesoma na ambao bado wapo vyuoni kuwa hawakuwa na sifa za kusoma kozi husika sasa wametoa siku kadhaa kuwasiliana na vyuo ambapo mwisho ni 28/2/2017
Sasa kwa sisi tuliopo makazini na majina yapo maana yake nini kwamba kipe tulichosoma hatukustaili au ni nini hasa embu tuwekeni wazi na kwa yoyote mwenye uelewa wa taarifa hii naomba atujuze
Kwa wale watakaotaka kujua waingue TCU utakuta taarifa ya PDF kwa kila chuo na majina ya wanafunzi wake