TCU third round ipo tayari kwa wale waliokosa 1 na 2 round now

yeah,,ndo ivo..bado hawajaachia 3rd round,,,af una add kiaje akat pale umeandikiwa 2nd round,,third round bado.
 
yeah,,ndo ivo..bado hawajaachia 3rd round,,,af una add kiaje akat pale umeandikiwa 2nd round,,third round bado.

bado? Soma vizuri hapa
Welcome Again to the
Central Admission System.
You are here because you
were not successful in the
First two rounds of
selections.You are now given the opportunity to
select UP TO FIVE (5) PROGRAMMES among those that are not yet filled to
capacity. You are advised to wisely choose programmes for
this 3r round of selections.
Selections will be done on
merit basis
 
hio nimeisoma kaka,,bt maana ya ile data base error ni kwamba bado haijaruhusiwa rasmi..ndio maana hakuna sehem wameandika make a third selection kwenye profile yako...Mi nafanya kusaidia tu,sihusiki kwenye hizi selections.
 
web browser unayotumia ndo yenye shida jaribu computer nyingine yenye browser tofauti na hiyo
 
Mkuu mm kweny accnt yang cion jipy toka nmeandikiw congraduration for succefuly completed on line into bch degree you will be notified bfre 16/10 vip kuna uhai ndan yake, msaad tafadhali
 
Mkuu mm kweny accnt yang cion jipy toka nmeandikiw congraduration for succefuly completed on line into bch degree you will be notified bfre 16/10 vip kuna uhai ndan yake, msaad tafadhali
humu tunazungumzia wa TCU cyo NACTE.
 
mkuu nimeingia tcu soon nimekuta conglationa for succeful nikakuta tumain unoversity kwenye prirty wameandka 2 dhen selected bt tcu kweny institution wait for aprov hapa sasa wasipokuaprov?? na iz it posbo kuwa nt provd??? msaada wakuuu
 
hata wale waliochaguliwa first round wameandikiwa ivo so ucwaze we fanya kuandaa kakaakichwa uende zako tumain
 
Back
Top Bottom