TCU! TCU! Aisee mnatuchosha....

Quicklime

Senior Member
Mar 30, 2011
174
62
Habari zenu binafsi! Mi mzima naendelea kupumua kwa kweli.jamani hawa tcu wanataka raia tuchukue uamuzi gani? Wanatoa hadi tarehe ya kutoa majibu halafu wanapotezea.sio mambo na ninaungana na jamaa aliyewahi kuweka thread kuwa siasa ishaingia tcu,halafu watu wakambishia na ndio tunachokiona sasa.hvi deadline za applications mbona hawaziongezi? Wanatuchosha aisee!isiwe taabu kwa kweli.....
 
hawa jamaa wa tcu wameshatuona vikatuni,walisema tarehe 4 lakini hadi leo hamna kitu!
 
Jamani hamkumbuki mliambiwa mkubwa hakosei? Yani wametufanya vitokololo,TUMECHOKA!
 
Quicklime system ya zaman me naipenda sana,sasa hv watu tungeshajua patupu au kuna kitu!hawa jamaa me naona kaz imekua ngumu!cheza na tehama nini!
Au co 2jipe moyo!! Lakin mwaonaje system ya zamani?
<br />
<br />
 
Kwa kweli imekua kero..itakuaje kwa muombaji aleyekua mbali na mji alafu akakosa selection huku wao wameweka mwisho wa kuomba kwa mara ya pili ni 22 agust.na leo ni 12 agust..kwa kweli ni kero.
 
Yan me nimechoka kabisaa kusubiri... I WISH NIWATANDIKE BAKORA THESE TCU Guyz, kiukweli kabisa.
 
Back
Top Bottom