TCU SASA WAJIVUA GAMBA:HOMA heslb YAZIDI KUPAMBA MOTO:

RIKAB

Member
Aug 13, 2012
47
2
Wana jamvi napenda kuwasilisha mada tajwa hapo juu kutokana na ukweli kuwa tcu wajibu wake sasa over ni baada ya kurelease selection.Sasa nawapongeza waliopata nafasi ambazo kwa kuzitumia vizuri wawapo vyuoni watasaidia sana katika ukombozi wa nchi ye2.Sasa kuna tetes kuwa wenda mwaka huu wa masomo NO LOANS zaweza pungua kwa kiasi chake kutokana na kuongezwa kwa bajeti ya elimu hususani kitengo cha heslb sasa ebu tungojee hayo mabadiliko kama yatakuwa na tija kwa watoto wa wakulima.USHAURI WANGU ENDAPO NO LOANS ZISIPOPUNGUA AU KUISHA KABISA YA2PASA KUANZISHA EDUCATION AND LOANS MOVEMENT FOR CHANGE.
 
siyo ww peke yako, Not yet processed ziko nyingi ndugu hata mdogo wangu pia ameandikiwa hivyo na alipata div. 1
 
Ki ukweli hawa jamaa wa TCU wanaumiza vichwa. Watu wamepata darja la kwanza lakini hawajapata udahili. hii inasikitisha sana.
 
TCU Iko poa sasa!!
swali: Bodi ya mkopo kipi kinaendelea? na n ln? wata update mikopo?
 
Dah nikifikiria Kuhusu mkopo homa inapanda ghafla eeh Mwenyezi Mungu tuangalie sisi waja wako katika Hili.
 
Dahx ila mbna wengne wame2chagua vyuo 2lvokuwa hatujaviomba! Celewi au hamna democrasia ya kuchagua facult uipendayo! Inauma sana!
 
Back
Top Bottom