TCU nao ni wanasiasa? Sie tulidhani ni wasomi wasiodanganya!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCU nao ni wanasiasa? Sie tulidhani ni wasomi wasiodanganya!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ta Muganyizi, Aug 5, 2011.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Ukiangalia kwa makini Tangazo lililotolewa na TCU kwa Umma wa Watanzania na kilichofanyika hadi leo utashangaa. Kwa nini wasitoe tangazo jingine kuwaomba radhi wananchi wa Tanzania? Hebu angalieni tangazo hili hapa chini


  Public Announcement on Second round of Application for 2011/2012 Admissions
  The Tanzania Commission for Universities (TCU) wishes to inform the general public that the selection process under the first round of applications through the Central Admission System (CAS) has been completed and names of selected applicants will be released on 4[SUP]th[/SUP] August 2011.

  kwenye hapo red kama ni kweli tatizo ni nini hasa? Acheni siasa, uongo, uongo, mnaufanya nyinyi alafu mnatarajia kuwafundisha ili wawe waadilifu? Mtatuzalishia watu kama Ngeleja, Jairo, n.k
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  HII kidogo inaleta utata, nani wa kumuamini kuwa akiahidi atafanya kweli? Hadi wasomi wanachakachua promise!!!
   
 3. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Au watasingizia Tanesco kuwa umeme umekatika?
   
 4. Edgar011

  Edgar011 Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Hii si TANZANIA ni TAA INAYOZIMIA,nipo kwenye mchakato wa kuitafuta katiba nitafute kifungu cha adhabu kwa chombo cha serikali kama TCU kikitoa taarifa ya uongo kwa umma inakuaje? Mana huwezi kuandika kwa maandishi halafu uyapinge,ni bora basi wangeitisha kikao na waandish wa habari watangaze kuahirishwa lakini wamenyamaza. Mmh,yangu macho tuone tutakapo elekea na Taifa letu la viongozi wajasiria mali.
   
 5. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  kweli michezo mingine inaboa sana, TCU wajue kabisa wanafanya utani pasitakiwa utani kufanyika.
   
 6. Edgar011

  Edgar011 Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  <br />
  <br />

  Utani? Wanamtania nani? Utani na kazi umeona wapi? Ngoja nikipata katiba nita Qute kifungu cha adhabu kwa kudanganya umma hapa kwene JF. Be ready,
   
 7. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Hawa jamaa wanaona sie watanzania akili hatuna bali wao ndo wenye akili. Watu tunataka kujua kama watoto wetu waende DIploma au la, wao kimya tu. Hawaoni aibu unapoandika neno Public Announcement alafu unadelay?
   
 8. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,369
  Trophy Points: 280
  Au wanataka kusingizia mgomo wa vituo vya mafuta umesababisha watokeo yachelewe? Au mgao wa umeme? OGOPA MSOMI ANAYEDANGANYA, NI HATARI!
   
 9. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,200
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Kwani walioko TCU wako serikali inay√łongozwa na nani?! Kama ni hii ya Muheshimiwa sana Vasco Dagama J.K,basi hakuna cha ajabu kwan siku zote ahadi zao ni kujaza kurasa za magazeti na kutangaza kuwa nao wapo!TZ HATUNA WASOMI WOTE WANASIASA TU! wasomi wa KWELI HAWAPEWI VITENGO WANAACHWA TU!
   
 10. R

  Rushdie jr Member

  #10
  Aug 5, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Magamba haoo tcu
   
 11. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #11
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  MSOMI ANAYEDANGANYA NI HATARI (yaani ni noma) maana anakuwa kadhamiria
   
 12. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,200
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Kwani walioko TCU wako serikali inay√łongozwa na nani?! Kama ni hii ya Muheshimiwa sana Vasco Dagama J.K,basi hakuna cha ajabu kwan siku zote ahadi zao ni kujaza kurasa za magazeti na kutangaza kuwa nao wapo!TZ HATUNA WASOMI WOTE WANASIASA TU! wasomi wa KWELI HAWAPEWI VITENGO WANAACHWA TU!
   
 13. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mpaka tuandamane labda
   
 14. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama wanadanganya uma kiasi hicho hv hata hiyo selection watafanya kwa uadilifu na haki kweli?
   
 15. serio

  serio JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  hahaaaa, kweli TAA INAYOZIMIA,
   
 16. Edgar011

  Edgar011 Member

  #16
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Nimeifungua webpage yao mda sio mrefu wametoa tangazo lingine tena na leo ingawa nalo halifunguki kiundani ni lini watu tutajua hatma yetu ya chuo. Anyway,ngoja tusubiri labda wao hawatumii gregorian calendar! Mungu ibariki Taa inayozimia
   
 17. JMC prod

  JMC prod Member

  #17
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  T- Tulia
  C- Chini
  U- udanganywe..
  So let us co0l..
   
 18. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #18
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Sure tangazo wamelibadili lakini heading ni ileile. kuchakachua hakutaisha
   
 19. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Sina imani na kinachopangwa huko
   
 20. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,369
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  kweli kabisa.
   
Loading...