Mwanzilishi lazima atakuwa kasoma UDSM hii ndio wamekuwa wakieneza kila wakati....
Lisemwalo lipo... Mnatuogopa sn UDSM eh? Nenda ktk mazingira ya ajira waangalie wasomi wa UDSM linganisha na vyuo vingine utapata jibu!
Lisemwalo lipo... Mnatuogopa sn UDSM eh? Nenda ktk mazingira ya ajira waangalie wasomi wa UDSM linganisha na vyuo vingine utapata jibu!
ulishawahi kusikia prof fake udsm au sua?
usitegemee chochote toka TCU, ni wababaishaji sana na sijui kwanini haijavunjwa, ni afadhali ya NACTE wapo katika uanzishwaji wanafuatilia sana lakini tcu, nahisi pesa inatembea. Mfano kuna ndugu yangu anasoma famasi Bugando univeristy ambacho sasa kinaitwa catholic university college of health sciences (CUHAS), anadai kina mwalimu mmoja tu, wengine wanatoka muhimbili kama part time. wanahisi kutokupata elimu bora, wakaandika baraza la wafamasia wawasaidie na majibu waliyopewa ni kuwa hata wao hawajui ni kwa nini TCU iwaruhusu kufundisha bachelor ya famasi wakti hawana walimu!! vile vile kwa st.john dodoma, nasikia walimu wengi wanatoka muhimbili na wako wengi kuliko hata idadi ya wanafunzi wa muhimbili wenye walimu waliobobea. Si hivyo tu, kuna jamaa yetu alidanganya cheti ati kasoma nje, akapeleka vyeti vithaminiwe na TCU, na baada ya kama ya wiki mbili akapewa barua ya kutambuliwa kwa shahada yake. Kiufupi TCU is hopeless.Unachhosema ni kweli hat mim nliwahi kukiskia. Lakini cha kusaidiana hapa ni TCU kuthibitisha haya kwa maana wakikaa kimya badae mtu atashindwa kutetea alichonacho.
Naamini wanataaluma kama supervisors, na maprof wanasoma hbr hizi nao pia kwa nafasi yao watuambie.
TCU nao watuambie criteria za ubora wa degree/master ni zip
tuache SIASA! na tuwe wakweli, kwanini GPA'S za upcoming universities ni kubwa sana? 4.8,4.7 au ndio mnafundishwa zaidi au vichwa kuliko wengine? lazima kuna tatizo kubwa kwani mliohitimu huko tumesoma na nyie advance na tunafahamiana vizuri na waalimu wenu wengi ni maTA.
Wakuogopwa ndio nyie!Hivi utaanza kumuogopa kwa lipi mtu ambaye ni mvivu hata kuandika neno la herufi nne tu?Mazingira yapi ya ajira kama hata kuandika sentensi moja iliyonyooka ni shida...kazi tunayo!
Lisemwalo lipo... Mnatuogopa sn UDSM eh? Nenda ktk mazingira ya ajira waangalie wasomi wa UDSM linganisha na vyuo vingine utapata jibu!
Ndg wana Jf kumekuwa na taarifa mkanganyiko mtaani (taarifa zisizo rasmi) kuwa vyuo vingi nchi hii vinatoa degree ambazo ziko chini ya viwango, hii inasababisha watu kutoleana maneno ya kukejeliana na kukashifiana kuhusu elimu zetu. Vyuo vinatolewa maneno machafu kutoa degree chini ya viwango ni Tumaini University, SAUTI, UDOM, TEKU, MZUMBE.
MZUMBE wanatuhumiwa kutoa masters ambazo zinaitwa njegere/maharage ya mbeya, Tumaini university degree ya sheria kutotambuliwa na waajiri na pia Masters zake kutotambuliwa na kutosajiriwa na TCU.
Je wadau ni sahihi kwa TCU kukaa kimya kwa nchi kuwa na elimu inayotuhumiwa kwa kiwango kikubwa namna hiyo?
Wadau pia naombeni tujadili ukweli wa tuhuma hizi kiundani ili kuwasaudia TCU kujua kama hawajajua au kusikia ili wachukuwe hatua stahili.
TCU chukuweni hatua au mtoe tamko kwa hizi tuhum, kama ni za ukweli bora mvifungie vyuo ambavyo vinatoa elimu chini ya kiwango na kama baadhi ya kozi hazisajiriwa inakuwaje zitolewe na nyie mpo?
ha ha haa! Nimesoma Communication skills na ndio maana hata wewe umeelewa ni neno lenye herufi nne maana ujumbe umeupata! Upo? Shauri yako wewe usoweza kurahisisha mambo maana yake wewe ni kilaza na elimu yako ya chuo gani sijui!