davie_ki_boyfriend
Member
- Jul 16, 2015
- 7
- 4
hilo ni tatzo mm nna mdogo wangu amechaguliwa second selection ila mpaka sasa hajapata code ukienda TCU wanakwambia uende chuo husika then ukienda kwenye chuo husika wanakwambia usubili CODE. its very complicatedNiende moja kwa moja kwenye mada kuna mdogo wangu alichaguliwa mkwawa univerty awamu ya pili course ya bachelor of education in science lakini leo natumiwa sms kuwa katika majina yaliyotumwa kwao na tcu hayumo kutokana na chuo alichodahiliwa kuzidisha wanafunzi kulingana na uwezo wao wa kudahili na wananishauri niombe upya au chuo kingine naombeni msaada mana kwenye majina waliopata mkopo mdogo wangu yumo