TCU na Udsm sijawaelewa kwa hili

Niende moja kwa moja kwenye mada kuna mdogo wangu alichaguliwa mkwawa univerty awamu ya pili course ya bachelor of education in science lakini leo natumiwa sms kuwa katika majina yaliyotumwa kwao na tcu hayumo kutokana na chuo alichodahiliwa kuzidisha wanafunzi kulingana na uwezo wao wa kudahili na wananishauri niombe upya au chuo kingine naombeni msaada mana kwenye majina waliopata mkopo mdogo wangu yumo
hilo ni tatzo mm nna mdogo wangu amechaguliwa second selection ila mpaka sasa hajapata code ukienda TCU wanakwambia uende chuo husika then ukienda kwenye chuo husika wanakwambia usubili CODE. its very complicated
 
Nimekuwa confused eti chuo kilimchagua mtu cku zote leo wanamwambia pumba hizo eti nafasi zimejaa so aombe upya ujinga sana huo.
 
Kiukweli mm nimechaguliwa awamu ya kwnz ud na dit ... Ila dit tcu wakareject matokeo yangu eti kisaa naoneka bado mwanafunzi sijamliza kusoma. Na huku tiar udsm wamenichagua kweli ni usumbufu ata kwny kupata mkopo itasumbufua sana ... Dit walinipa taarifa kwamba nipo multliple selection awamu ya tatu. Ndo tcu inakumbuka kutuma code
samahani mkuu ..wewe ulituma form ya reapplication TCU
 
Wewe kaza nenda hapo hapo kama unaushahidi ulichaguliwa kaza , uzembe wao usikugharimu wewe chuo kikifunguliwa nenda kama kawa
ataendaje chuo yet admission letter yake inakua haipo.
hebu acha kumpotosha asije akalipa fees ya bure.
cha msingi naenda TCU tu wao ndo watatoa uamuzi.
watakavyosema ndo hivyo unafata huna jinsi
 
ataendaje chuo yet admission letter yake inakua haipo.
hebu acha kumpotosha asije akalipa fees ya bure.
cha msingi naenda TCU tu wao ndo watatoa uamuzi.
watakavyosema ndo hivyo unafata huna jinsi
Ahsante mkuu daaaa hili sikutegemea mana jina limetokea kwa watakaopata mkopo na hii ni awamu ya mwisho ukikosa basi unachinjiwa baharini
 
hello
mimi nimeconfirm tarehe 6.10 .2018 nashangaa jina langu wametoa tena kwamba sijaconfrm tarehe 14.10.2018
sijaelewa cha kufanya wadau
 
hello
  1. mimi nimeconfirm tarehe 6.10 .2018 nashangaa jina langu wametoa tena kwamba sijaconfrm tarehe 14.10.2018
  2. sijaelewa cha kufanya wadau
 
Bro , nimeconfrm na pia hawana options tena pale kwa sababu tiar nimesha confrm..... Na pia nimeenda chuo husika kuakikisha wakaniambia mi ni mwanaafunzi wao tiar ... Na shangaa tcu bado wamening'ania tena
 
Ok,basi tcu watakua wametoa jina lako kimakosa...usihofu
 
#TANZANIA YANGU

NASHUKURU SANA BRO, USHAURI WAKO NI MZURI SANA
SASA HUONI WANAWEZA FANYA NKOSE MKOPO KISAA BODI YA MKOPO HAJATAMBUA NIPO CHUO GANI MPAKA SASA. KIUKWELI MM NIMECHAGALIWA FIRST ROUND BT TCU WAMENISUMBUA HADI SASA BRO.. BADO TU
 
Niende moja kwa moja kwenye mada kuna mdogo wangu alichaguliwa mkwawa univerty awamu ya pili course ya bachelor of education in science lakini leo natumiwa sms kuwa katika majina yaliyotumwa kwao na tcu hayumo kutokana na chuo alichodahiliwa kuzidisha wanafunzi kulingana na uwezo wao wa kudahili na wananishauri niombe upya au chuo kingine naombeni msaada mana kwenye majina waliopata mkopo mdogo wangu yumo
Mkuu nisaidie namna ya kumuangalizia mdogo wangu Yuko porini kabisa nae katumiwa hiyo kama hiyo. Naingiaje kwenye profile yake, amenitumia email na password yake. Please, naomba unisaidie mkuu saiz
 
Mkuu nisaidie namna ya kumuangalizia mdogo wangu Yuko porini kabisa nae katumiwa hiyo kama hiyo. Naingiaje kwenye profile yake, amenitumia email na password yake. Please, naomba unisaidie mkuu saiz
Aiseee nitumie namba zako za simu then mimi nitakutafuta then unitumie hizo taarifa kwa sms
 
Back
Top Bottom