TCU na SUA wanamaanisha nini kwa waliochagua agribuz

BabJonii

Member
Aug 14, 2012
27
8
sjawah kuona taasis yenye mipango mibovu kama TCU. Wamewaandikia watu kwenye profile zao wamechaguliwa Agribusiness SUA alaf hatuoni majina, kisa madarasa hayatosh watu 50 majina yamerudishwa TCU.. Sasa hawa tcu wanafanya vitu bila ushirikiano na chuo husika ama?
 
Sasa mi nashanga kwa nn waliochaguliwa 1st round majna hayaonekani ila agrbusns 2nd round wameyaweka wana maana gani?
 
Sasa mi nashanga kwa nn waliochaguliwa 1st round majna hayaonekani ila agrbusns 2nd round wameyaweka wana maana gani?

ile sio 2nd round. Majina 60 yalirudishwa tcu kwa uhaba wa madarasa. Wamelazimishwa waongeze watu 10 ndo hayo majina yaliyotoka jana.
 
Mbona mi nlivyosoma pale nielewa majina yalioongezwa kwa agribusines kwa 2nd round candidates selected
 
yale wameombwa na tcu angalau waongeze watu kumi hao 50 majina yamerudishwa mezan 2nasubir kupangwa upya. Ila mkopo itakuaje na wanajua hao watu wapo SUA?
 
Mbona mi nlivyosoma pale nielewa majina yalioongezwa kwa agribusines kwa 2nd round candidates selected

pale kuna kasintofafam kametokea kati ya TCU na SUA. TCU wamechagua watu weng kuliko uwezo wa chuo..
 
Back
Top Bottom