TCU mulikeni kero hizi Kampala international university (KIU)

Maozo ya KIU nikianza kuyaanika hapa sever itajaaa bure bora nikae kimya nisije bebwa na wasio julikana, ila bora tulifukuzwa 2012........
In short tuliwai wekaga mgomo tukafunga barabara mpaka tukazui msafara wa RC kipindi hicho Meck Sadick ila mwisho wa siku ringleaders wa mgomo tukala za pilato.
Anika tu mkuu ..ila yawe recent maana 2012 nizamani sana na mengi nazani yatakuwa yameisha fanyiwa kazi ...
 
1..Ada ni kubwa sikatai ila ni kwa upande wa medicine tu .. na haitofautiani sana na ada ya HKMU .. Ila ada za kozi nyingine ni rafiki kabisa ..

2..hakuna mwalimu anaepika supplementary ndugu ..sahivi pale shule ni ngumu professor ntongwisangu anawanyoosha vizuri tu....waambie vijana wako wasome kwa bidii ..mbona vijana wengi tu wamefaulu na hawana supplementary wako majumbani mwao ..wanakula likizo safii.. Afu Tsh 40,000 ya supplementary mbona kawaida tena kwa vyuo vingine ni 50,000 (kcmc).. tsh 45,000 (CUHAS MD1).. Na mwanafunzi akiona kama hakutendewa haki mbona kuna taratibu za kufuata na anaonyeshwa paper zake !!!

3..nilivyosoma hapo tu nikagundua na kuhisi kuwa hao vijana wako wanasoma either BMS ( medicine ) or maabara (BMLS) mwaka wa kwanza..maana ndio walipelekwa COBERM kisarawe wakarudi wakakuta ratiba ... Wanalalamika hivyo kwasababu hawasomi, kama mtu huwa anasoma hata ukimkurupua ukampa mtihani bila taarifa ..anafanya na kufauru... Afu mbona vijana wengi tu wamefauru bila supplementary ..na walikuwa huko huko pia... Waambie wasome kwa bidii masomo nane/saba/Tisa per semester sio mchezo ..

4..hiyo kitu haiwezekani na ndio maana ratiba yao ya supplementary imebadilishwa Mara kadhaa ili kuepusha hilo..

5.. Ha ha kama mwanao kagawa papuchi kwa wanaijeria amependa mwenyewe tu..mbona wadada wengi tu wanafauru bila kugawa papuchi.. Katika kitu ambacho sijawahi sikia ni hii ..ila ninacho jua ni kuwa wanaliwa ila sio kwaajili ya maksi ..kwenye jamii yeyote ile lazima watu wajamiiane ..sasa unataka hao wageni wakae siku zote bila kujamiiana ..nao ni binadamu buana...acha wawatafune wasiojielewa..

Pia napenda kuchukua fursa hii kuwatakia supplementary njema vijana wako ..maana zimeanza Jana ....
Hahahahaha Duh! Supp zinaumiza kumbe eeee. Vijana wake awaambie wasome kwa bidii wafaulu vizur kama wenziwao
 
Kufauru = kufaulu

Hivi shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kwani hiki chuo kilishafunguliwa na TCU? Kwenye orodha ya vile vyuo 19 si kimeorodheshwa pia au mimi sielewi?
 
Ushauri wangu: Vijana tafuteni vyuo vingine mkasome,hicho chuo kimekuwa na matatizo mengi sana kuanzia kule kilipoanzia including usajili wake na aina ya graduates wake wengi hawako competent makazini. Niliposikia kipo Tanzania nilijua tumeletewa majanga
 
Hichi chuo ukiona huwezi kiache tuu ,ka ss tuliokiacha wanafuata mitaala ya UG .cheki prospectus yao kisha tizama grade sysytem zao ni tofauti na vyuo vingine tz may be wawe wamebadili

.au ingia google andika mgomo wa kampala university uone ss tuligomea nn.

Its so pain when i here this university.

Ukiweza kasome hukataliwi. Ila.....
 
1..Ada ni kubwa sikatai ila ni kwa upande wa medicine tu .. na haitofautiani sana na ada ya HKMU .. Ila ada za kozi nyingine ni rafiki kabisa ..

2..hakuna mwalimu anaepika supplementary ndugu ..sahivi pale shule ni ngumu professor ntongwisangu anawanyoosha vizuri tu....waambie vijana wako wasome kwa bidii ..mbona vijana wengi tu wamefaulu na hawana supplementary wako majumbani mwao ..wanakula likizo safii.. Afu Tsh 40,000 ya supplementary mbona kawaida tena kwa vyuo vingine ni 50,000 (kcmc).. tsh 45,000 (CUHAS MD1).. Na mwanafunzi akiona kama hakutendewa haki mbona kuna taratibu za kufuata na anaonyeshwa paper zake !!!

3..nilivyosoma hapo tu nikagundua na kuhisi kuwa hao vijana wako wanasoma either BMS ( medicine ) or maabara (BMLS) mwaka wa kwanza..maana ndio walipelekwa COBERM kisarawe wakarudi wakakuta ratiba ... Wanalalamika hivyo kwasababu hawasomi, kama mtu huwa anasoma hata ukimkurupua ukampa mtihani bila taarifa ..anafanya na kufauru... Afu mbona vijana wengi tu wamefauru bila supplementary ..na walikuwa huko huko pia... Waambie wasome kwa bidii masomo nane/saba/Tisa per semester sio mchezo ..

4..hiyo kitu haiwezekani na ndio maana ratiba yao ya supplementary imebadilishwa Mara kadhaa ili kuepusha hilo..

5.. Ha ha kama mwanao kagawa papuchi kwa wanaijeria amependa mwenyewe tu..mbona wadada wengi tu wanafauru bila kugawa papuchi.. Katika kitu ambacho sijawahi sikia ni hii ..ila ninacho jua ni kuwa wanaliwa ila sio kwaajili ya maksi ..kwenye jamii yeyote ile lazima watu wajamiiane ..sasa unataka hao wageni wakae siku zote bila kujamiiana ..nao ni binadamu buana...acha wawatafune wasiojielewa..

Pia napenda kuchukua fursa hii kuwatakia supplementary njema vijana wako ..maana zimeanza Jana ....
Hapo nikujitoa ufahamu cz ya maabara degree vyuo vyote tz ni 3yrs ila kiu ilikuwa 4.5yrs may be now ka wamepunguza ni 4yrs. Plus intern ni five yrs ur suffering kutafuta degree ya maabara .c bora ukachukue udaktar sasa.
 
Sijawahi fika dar ila nahisi kitakuwa nje sana ya mji
hapana mkuu hakipo nje ya mji sana kipo gomzi yaan gongo la mboto....ila nasikitika kuskia bado kuna masekeseke maana wamemalizana na serikal kwenye usajl sa hivi wao kwa wao chuon duuu
 
Kama Mwananchi wa kawaida lazima nipige kelele kwa nguvu kabisa umma usikie, kile chuo kinaendeshwa kiujanja ujanja hakuna utaratitibu unaoeleweka. Wanafunzi wanateseka, uongozi unapishana kimaamuzi hakuna kinachoeleweka ndani ya chuo hicho. Mimi kama mzazi au mlezi wa wanafunzi ninaowasomesha kwenye chuo hicho naomba kuwasilisha malalamiko yangu ili mamlaka zisikie.

1.Chuo kinatosa gharama kubwa za ada nje na maelekezo aliyotoa mh Rais,

2.Hivi inakuwaje walimu wanapika supplementary kuwatengenezea wanafunzi ambao hata wamefaulu? Supplementary ya somo moja ni Tshs 40,000/= kwa kila somo. Kwakua hakuna option ya mwanafunzi kuona matokeo yake ya mwisho wa Mwaka hivyo hata akiwekewa supplementary hawezi kujua imetokana na nini? Kwahiyo ni biashara mwanzo mwisho.

3. Vijana hasa wa fani za afya wanalalamikia kuwekewa ratiba za mitihani ya wakati wako kwenye mafunzo ya kitendo hawapo chuoni,wanaporudi wanakuta ratiba imebandikwa bila hata ya kupewa muda wa kujisomea, hii inapangwa makusudi ili kuwatengenezea wanafunzi supplementary za makusudi ili pesa ziongezeke zaidi ya ada. Kile chuo sijui kuna mkono wa watu wakubwa huko juu sio bure.

4. Hivi inakuaje ratiba ya supplementary ya semester ya1&2 zinafanyika siku moja? Yaani Mwanafunzi anafanya masomo mawili tofauti kwa wakati mmoja kwenye mzesa moja muda na mmoja. Mmewahi kuonana wapi? Hawa ni wageni hawana uchungu na elimu ya watanzania wazawa, huu wote sio utapeli ni nini?

5.Inasemekana kua kwenye chuo hicho rushwa ngono baina ya wanafunzi na walimu imepamba moto, mtoto wa kike bila kufunua sketi hata asome vipi shule yake ngumu.Kuna tuhuma za wanigeria na Wakenya ambao ndio wanaendekeza uhuni huo chuoni hapo. TCU kwa utawala huu wa sasa haya yanatokea mko madarakani mnataka tuwaletee ushahidi ofisini kwenu au tuende TAKUKURU? Wazazi tunaumia sana na haya mambo.

Hawa hawajali watoto wa watanzania, wanekuja kufanya biashara wachunguzwe na kuchukuliwa hatua haraka hawafai hawa.
Sasa inakuwaje mpaka unaenda kusoma huko mkuu?
 
1..Ada ni kubwa sikatai ila ni kwa upande wa medicine tu .. na haitofautiani sana na ada ya HKMU .. Ila ada za kozi nyingine ni rafiki kabisa ..

2..hakuna mwalimu anaepika supplementary ndugu ..sahivi pale shule ni ngumu professor ntongwisangu anawanyoosha vizuri tu....waambie vijana wako wasome kwa bidii ..mbona vijana wengi tu wamefaulu na hawana supplementary wako majumbani mwao ..wanakula likizo safii.. Afu Tsh 40,000 ya supplementary mbona kawaida tena kwa vyuo vingine ni 50,000 (kcmc).. tsh 45,000 (CUHAS MD1).. Na mwanafunzi akiona kama hakutendewa haki mbona kuna taratibu za kufuata na anaonyeshwa paper zake !!!

3..nilivyosoma hapo tu nikagundua na kuhisi kuwa hao vijana wako wanasoma either BMS ( medicine ) or maabara (BMLS) mwaka wa kwanza..maana ndio walipelekwa COBERM kisarawe wakarudi wakakuta ratiba ... Wanalalamika hivyo kwasababu hawasomi, kama mtu huwa anasoma hata ukimkurupua ukampa mtihani bila taarifa ..anafanya na kufauru... Afu mbona vijana wengi tu wamefauru bila supplementary ..na walikuwa huko huko pia... Waambie wasome kwa bidii masomo nane/saba/Tisa per semester sio mchezo ..

4..hiyo kitu haiwezekani na ndio maana ratiba yao ya supplementary imebadilishwa Mara kadhaa ili kuepusha hilo..

5.. Ha ha kama mwanao kagawa papuchi kwa wanaijeria amependa mwenyewe tu..mbona wadada wengi tu wanafauru bila kugawa papuchi.. Katika kitu ambacho sijawahi sikia ni hii ..ila ninacho jua ni kuwa wanaliwa ila sio kwaajili ya maksi ..kwenye jamii yeyote ile lazima watu wajamiiane ..sasa unataka hao wageni wakae siku zote bila kujamiiana ..nao ni binadamu buana...acha wawatafune wasiojielewa..

Pia napenda kuchukua fursa hii kuwatakia supplementary njema vijana wako ..maana zimeanza Jana ....

Mkuu inaonekana ww ni mwanafunzi wa hapo, na ni kawaida sana Kwa mwamb ngoma kuvutia kwako, but in reality hicho chuo kina uozo mkubwa sana.
Nilipita baadhi ya hospital aisee wanakijadili kua hawawez wakajachukua mwanafunzi wa hiko chuo.

Mi binafsi hata niwe nimefail form six na nkaambiwa nikasomeshwe bure KIU, sitokubali hata kidogo ni bora niache tu kusoma,mana hapo chuoni kuanzia taaluma na wanataaluma ni bomu tu.
 
Bahati nzuri, mwaka huu kuna wanafunzi wangu niliisha wafundisha pamoja na jirani zangu nimewaepusha katika hiko chuo Kwa kuwakatalia katakata wasiombe hiko chuo in total walikua kama 17, inamaana hapo nimewakomboa sana maana wange laumu sana.

Na Kwa bahati nzuri 8 wameenda bugando, 9 UDSM
Ingawa nimewatia hasara hiko chuo kibovu Lakini ni Kwa maslahi ya watoto hao.

Pia muanzilishi wa thread, ningekushauri kama Wanao ni mwaka wa kwanza Basi wangeondoka hiko chuo na kwenda kuanza chuo kingine kizuri.
 
Kiongozi, nimemaliza elimu yangu ya juu hata kabla hicho chuo hakijaanishwa. Mwaka jana nimepeleka vijana wangu 2 ninaowasomesha kwa pesa yangu Mimi na hawana mkopo, moja ni maabala na mwengine ni udaktali. Kila siku wanakuja wanalialia, na nimefuatilia malalamiko yao kwa kuuliza wanafunzi wengine ni kweli
Waambie wanao wasome kwa bidii hawawez kupewa sup kama wamefanya vizuri..haki inaendana na wajibu mkuu
 
  • Thanks
Reactions: snn
Mkuu inaonekana ww ni mwanafunzi wa hapo, na ni kawaida sana Kwa mwamb ngoma kuvutia kwako, but in reality hicho chuo kina uozo mkubwa sana.
Nilipita baadhi ya hospital aisee wanakijadili kua hawawez wakajachukua mwanafunzi wa hiko chuo.

Mi binafsi hata niwe nimefail form six na nkaambiwa nikasomeshwe bure KIU, sitokubali hata kidogo ni bora niache tu kusoma,mana hapo chuoni kuanzia taaluma na wanataaluma ni bomu tu.
Spitali gani hizo mkuu???
 
Mkuu ni kweli mie ni mwanafunzi wa pale..

Wewe KIU unaisikia tu .. Unaweza jenga hoja tuone ni uozo gani unaozungumzia !!

Wataalamu feki !! Kama hujui kitu ni bora ukakaa kimya tu mkuu ..pale KIU kuna waalimu kutoka makelele (chuo bora east Africa)..wapo waliotoka muhimbili ,,nk ..ambao wewe na umbea wako hujazifikia ,, na wala hutazifikia CV zao daima ...

Afu kusoma KIU sio kuwa mtu amefeli....unatakiwa ufahamu kuwa sahivi watu wengi wanasoma science na kufaulu ..sio kila mtu atapata nafasi MUHAS,KCMUCo au CUHAS kutokana na ushindani ... Mfano mzuri mwaka jana kwenda chuo ilikua minimum uwe na two ya 12...hivyo first year waliopo KIU wanaufaulu kuanzia two 12,11,10 na one za 8..9 hivi.....kupata two ya PCB sio mchezo ukizingatia wengine wamesoma shule mbovu ....afu Leo anatokea mtu anabeza pengine hata cover ya BS haijui ...watanzania tubadilike....
 
Achana na hao wanaishi kwa majungu tu.
 
Aisee hichi chuo kimeoza balaaa , kuna rafki yangu anasoma hapo naona malalamiko yake yaani anajuta kwann kapoteza mda wake bure na hizo rushwa kwa walimu ni japo la kawaida mno hata km vyuo vyote hayo mambo yapo ila kiu unanunua "A" ya somo gumu lao ktk semester husika kwa 50000 tu nina ushahidi
 
Mkuu watu wangekuwa wananunua marks..kusingekuwa na kufanya supplementary ...nenda sahivi KIU pale.. watu kibao wapo wanajikwamua na vimeo vyao . tangu trh 2 hadi trh 14 ndio mwisho... Na kuna masomo watu wamedakwa wakutosha tu 99..58..34 nk ..unataka kuniambia hao wao hawana hela ??? Acha umbea na kuandika vitu vya kusikia tu ..hizo mambo zipo sikatai ..ila sio kihivyo sasa
 
Back
Top Bottom