Tcu mnabania nafasi zote hizi kwa nini

It is Sur_Plus

Senior Member
Sep 28, 2010
167
7
Hadi sasa ninashindwa kuelewa kwamba hawa ja maa TCU wameshindwa kuimudu CAS central adimission system au vipi. Nina mjomba wangu ambae amemaliza kidato cha sita na akafaulu kwa kupata daraja la kwanza aliomba kwenye 1st round of application akakosa, 2nd round akakosa tena.
under 3rd round of application wamekuja na auto selection system inapo search programme that applicant qualifies inaleta kwa asilimia 90 ni program ni zilezile ambazo aliomba mwanzoni akanyimwa nafasi wakati kuna nafasi zaidi ya 10000 hazina wanafunzi vyoni
 

Attachments

  • EMPTY SLOTS 3RD ROUND.pdf
    56.2 KB · Views: 79
Usikute mjambao CDM atakoma kulinga maana jamaa wameamua kukaba hadi nje ya uwanja. Hela za Helikoppta na wastaafu kwenda kutetea chama zipo kusomesha watoto waTZ mikopo wa makopo hakuna, Mungu atusaidie tu maana Taifa linaangamia
 
Back
Top Bottom