TCU: Maombi ya kusoma "Degree" vyuo kikuu kufanyika Direct katika Vyuo husika

Hivi wana maana gani kusema "a distinction for an unclassified diplomas and certificates". Nilifikiri ukisema "a distinction in" tayari umesha classify hiyo diploma au certificate. Wenye ufahamu naomba msaada.
 
Acha kuongopa mkuu hawajasema hizo d mbili zako wamesema point nne soma maelekezo vizuri acha kukariri mtu anaweza kuwa na c+e ni point je ni d mbili?
Nkatika kuwekana sawa tu mkuu...nazo n point pia anaenda...asante
 
Ila wakuu , kwa 50k tu si mtu alkua anaapply vyuo hadi 5 kupitia TCU? Kwa maana nahis italeta udhia sana kwa kila chuo kucharge dau lake. Nakmbuka Udom ilukuaga 20k, IFM 50k, UDSM 20/- sasa kila chuo I guess watataka 50k vyuo vi4 tu daaaa unakamilisha nondo za linta
 
Duuh mi mvivu kuandika ila hiyo miaka kulkua na big result now so grades zlpunguzwa tofauti na miaka ya kawaida..so wenyewe walkuwa na wepes..nadhan umeelewa kdg
ohooo apo sawa so ile principle pass inayojulikana dunia nzima kuwa ni E bongo sasa D lakin ajra bado kilio na madini bado tunaibiwa
 
Naona UDsm ikingaa tena maana watachagua watoto wenye utimamu
usisahau pia ma dr nao wana watoto wa ndugu zao wana div 3 za 14-17 watawaweka kilazima kozi cas ilikuwa ina kutema mapema hofu ni hyo...
 
Duh...siamini tunarudi kwenye "analog"! Yaani huo mfumo wa CAS una matatizo makubwa kiasi kwamba haurekebishiki na tunaamua kuu abandon? Ni matatizo gani hayo ambayo yasingeweza kurekebishwa?
 
usisahau pia ma dr nao wana watoto wa ndugu zao wana div 3 za 14-17 watawaweka kilazima kozi cas ilikuwa ina kutema mapema hofu ni hyo...
Ni kweli kabisa hilo ni jambo la kuangalia kwa umakini mkubwa,na sie watoto wa maskin tukajikuta tunashindwa kufikia malengo yetu
 
Ni kweli kabisa hilo ni jambo la kuangalia kwa umakini mkubwa,na sie watoto wa maskin tukajikuta tunashindwa kufikia malengo yetu
maana najua mwaka jana wengi walitemwa wenye ufaulu huu CEE,BEE,AEE,DEE, so hao msishangae huu mwaka wa kiwa chuo
 
That true kabisa nina waswas sana,duh apa kazi ipo for sure
hao ni mwaka jana + wa mwaka huu na wale wa 10 ya nyuma ahaaa ngoma itakuwa nzito sana wakitaka kuwaweza kila chuo kipange cut off point hune kama kuna vyuo vtapata wanafunzi
 
Ila wamerudisha deal kwa registers na academic officers watapiga hela na kuanzisha entry exams kwa baadhi ya vyuo, kwa ufupi rushwa inarudi kama hapo awali.
 
Ila wamerudisha deal kwa registers na academic officers watapiga hela na kuanzisha entry exams kwa baadhi ya vyuo, kwa ufupi rushwa inarudi kama hapo awali.
tcu bado ni wakulupukaji tu hili swala kwao litawaibisha vibaya sana nadhani ishu ya vyeti feki mliona ndalichako anaizamisha elimu yetu shit
 
Back
Top Bottom