TCU KWANINI MPAKA SASA WALIOHITIMU FOUNDATION COURSE OUT MPAKA SASA HAWAJARUHUSIWA KUAPPLY?

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Apr 13, 2016
128
225
Habari wanabodi

Napenda kuwauliza hawa watu wa TCU pamoja na open university mwaka Jana tume ya vyuo vikuu TCU iliutangazia umma ya kwamba wamerudisha program ya foundation kwa wale wahitimu ambao walipungukiwa sifa za kujiunga na vyuo vikuu.Hii program walisema itaendeshwa na Chuo kikuu huria cha Tanzania tu.

Pia TCU katika taarifa yao ilitoa vigezo vya mwanafunzi atakayesoma coarse hii ni lazma afikishe GPA 3.0 + kila somo liliopo katika comb yake lazima apate C Kwa masomo aliyosomea advanced level Mfano kama ni PCM lazima apate kuanzia C na masomo mengine ya ziada kama DS,Communication skills na ICT lazma afaulu vizr ili apate GPA hiyo.

Maajab ya karne

Ki ukweli vijana takriban 3000 walidahiliwa kusomea hiyo program

Matokeo yaliyotangazwa juz kati na OPEN UNIVERSITY yameonyesha vijana waliofaulu ni 554 tu sawa na asilimia 25% tu

Lakin baada ya matokeo hayo wale waliofaulu wameshindwa kuomba kabisa kwa sababu kwenye mifumo ya vyuo mbalimbali hakuna option ya foundation results

Na ukisoma muongozo wa TCU GUID BOOK wamesema hawa vijana waombe vyuo wanavyotaka wao

TCU TOEN TAMKO JUU YA MUSTAKABALI YA HAWA VIJANA
Screenshot_2019-07-27-22-26-58.jpeg
 

Granta

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
4,702
2,000
Hii foundation course ni upuuzi, form four failure anaisoma mwaka mmoja eti anapata sifa kujiunga University
 

Abuu abdurahman

JF-Expert Member
May 9, 2017
1,179
2,000
Usikurupuke mkuu sio lazima useme ata kama jambo hulijui!
In short iyo foundation course imekuwa updated na TCU wenyewe baada ya kuifuta miaka ya juzi kati apo na wakaianzisha tena 2018 ikiwa na modifications zakutosha.

FUATILIA MAMBO UTAELEWA
Hii foundation course ni upuuzi, form four failure anaisoma mwaka mmoja eti anapata sifa kujiunga University
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom