TCU Kuna tatizo gani jamani mbona ninaimani kubwa nanyi

test man

JF-Expert Member
Aug 13, 2016
1,013
948
Tangu juzi ile nahangaika nipate code lkn hawatumi ni confirm chuo kwani nimechaguliwa vyuo viwili course hiyo hiyo moja na unatakiwa uchague chuo kimoja na wao TCU watakutimia code lkn mpaka wa leo bila bila tu au Kuna mtu amefanikiwa kwenye hili wale wa multiple selected
 
Alafu siku zinazidi kwenda tu ,,mm mwenyewe sijatumiwa bado
 
Hata mm nmechaguliwa multiple ila mpk Leo sijatumiwa code nataka niende chuo ninachokipenda moja kwa moja kukofirm
 
Back
Top Bottom