TCU inavikanganya vyuo na wanafunzi

Inakuwa vizuri pale unapokuwa na option ya kozi moja na chuo kimoja pekee kitakachokufaa huku ukiwa na vigezo.
 
Aseeeeh, Nahitaji ushauri Nina mdogo wangu kaconfirm kozi bilA kuifatilia na baada ya kumuuliza kanambia ameconfirm tayari na hiyo kozi kiukweli aifahamu je anauwezo wakuconfirm chuo kingine kwa wakati huu ambapo ameshaconfirm
Anaweza kutumia code hizo hizo alizotumia ku-confirm, aka-unconfirm au ku-cancel admission. Jaribu kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom