Markberry1555
Senior Member
- Jan 6, 2019
- 147
- 162
Nakumbuka kuna uzi hapa tulipambana kwelikweli kuhusu hivi vigezo vya juu vya kufundisha chuo.... Tuliwasema sana...kwamba vigezo vya juu viliwekwaa kwaajili ya ukilitimbaa... Naona wamerekebishaTCU imetoa third edition ambayo imekuja na mabadiliko mengi.
Moja ya hayo ni kubadili kigezo cha kufundisha kuwa 3.5 kwa undergraduate badala ya 3.8 kwa vyuo vya serikali kama ilivyokua awali lakini 4.0 kwa Masters imeendelea kua ileile
Hii itatoa fursa kwa wanataaluma wenye sifa kupata nafasi na kupunguza uhaba wa wahadhiri vyuoni kutokana na kigezo cha awali
Sasa vijana mlioko vyuoni kazi kwenu pigeni ma GPA mkapige mpunga baada mteuliwe.
Sent using Jamii Forums mobile app