TCU hawajatoa matokeo ya Muslim University of Morogoro, wao wameshatoa yao ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCU hawajatoa matokeo ya Muslim University of Morogoro, wao wameshatoa yao !

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Faru Kabula, Oct 15, 2010.

 1. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  Hivi karibuni TCU ilitangaza majina ya wanafunzi walioomba kwa sifa za elimu ya kidato cha sita kujiunga katika baadhi vyuo vya elimu ya juu kwa mwaka 2010/2011 (GONGA HAPA) . TCU kikiwa ndio chombo kinachohusika na ithibati ya viwango vya elimu ya juu, iliahidi kumalizia majina katika vyuo vilivyosalia. Lakini cha kushangaza baadhi ya vyuo vimeshatoa majina ya watakaojiunga na kuibypass TCU. Mfano mzuri ni "chuo kikuu" cha kiisilamu Morogoro (MUM) ambacho kimetoa majina tayari (GONGA HAPA). Swali langu:

  1) TCU inawatambua hao wanafunzi waliochaguliwa kwa sifa za "direct entry" katika chuo hicho, na kwamba waliomba kupitia Central admission System (CAS) ya TCU?

  2) Je, idadi yote ile imeingia kwa "Equivalent Qualifications" ?

  3) Ikigundulika kama waliomba as "direct entry" na hawakupitia CAS ya TCU, yenyewe (TCU) inasemaje kuhusu kuvitambua vyeti vyao watakapohitimu?


  Yeyote mwenye majibu anaweza kuniwekea hapa, ila muda wa registration ukifika na mambo yakawa hivi hivi hayajawekwa bayana, nitaipeleka hii kule TCU na kama wana majibu nitayaweka hapa, ili ikibidi hata vyuo vingine mwakani viibypass TCU.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  :a s 103:
   
 3. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa hapo
   
 4. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Paradox (see bolded). Nahisi unahitaji kusoma sheria iliyoanzisha TCU ili uelewe mipaka yake. Jaribu kutafuta website ya bunge
   
 5. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  Yeah, lakini swali langu mojawapo ni kwamba, kama University ikiamua kuoperate under its own charter, ndio kusema TCU itakuwa haikitambui?
   
Loading...