sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,021
- 5,253
Zamani ilikua mtu unaapply chuo direct katika chuo husika kwa gharama ya Tshs. 20 elfu, hivyo ili mtu u-apply vyuo 4 ilikulazimu ukate hiyo 80 kama form fee ya kila chuo, thanks TCU mkaanzisha mfumo wenu ambapo mwanafunzi ana-apply once in a centralized system ambapo anatumia hela chache kuapply vyuo vingi,ahsanteni sana kwa hilo, ishu inakuja hapa sasa, mtu ameapply vyuo hivyo kwa minAjili ya kuwa atapata mkopo,mnamchagua kwenye chuo fulani but in one way or another huyu mdahiliwa anakosa huo mkopo hivyo analazimika kujilipia (privAte Sponsorship)..sasa unakUtA mmemchaguliA chuo cha gharama kubwa kuliko uwezo alio nao,huyu mtu Anakuwa anapata tabu sana kulipa ada na gharama nyingine,hamuon kama mnamtesa?
Nijuavyo mimi private huwa mtu anachagua kulingana na uwezo wa mfuko wake,why sasa nyie mnalazimiShA watu kufanya mambo nje ya uwezo wao? Yaani elimu ya sekondari mtu anakua na uhuru wa kuchagua kuliko elimu ya chuo kikuu?hapa mmechemka,rekebisheni! Mwingine anakaa Mbeya ambako angeweza kusoma Mzumbe mbeya branch huku akikaa nyumbani kwao hivyo kupunguza gharama za malazi na chakula,nyie mnAkuja kumchagulia aende kusoma Arusha,hivi mnajua mfuko wake ulivyo?na pale mmelazimisha watu wajaze vyuo visivyopungua vinne hivyo mtu anajaza hata vyuo vyenye ada kubwa ili kumeet ur reuirements na mnamchagua katika vile alivyovijaza kutimiza tu idadi ya vyuo vinne..mi naona mnaumiza wananchi for this?CAS ingekua maalum kwa watu wa mikopo au baSi mngetoa nafaSi kwa watu wanaotaka kujilipia wachague vyuo wanavyovitaka manually kama zamani