TCU guideline book 2012/2013: mkopo ni kwa kozi za science tu. Kwa Arts na biashara no loan at all.

yaan m2 anachanganua tu sentence kwa njia ya matawi,halafu 2mpe mkopo?acheni uvivu bana,watu hawatasoma bachelor sasa,nendeni diploma,maana ni cheap,waoneeni huruma wazazi,kweli mzazi ajibane kukusomesha tangu std 1 hadi form six,bado akulipie tena mamilioni chuoni,halafu ukimaliza huna kazi,unaanza kumbwerambwera 2 mjini,huku unajisifia na ka degree kako ka BA kiswahili sijui historia au kakiingereza

Short minded
 
Short minded

punguzeni mambo ya kijinga kama harusi,chiken party,bathdy msomeshe watoto wenu. Ukipiga mahesabu wewe,kaka yako,dada yako,mama yako wote kwa pamoja mnachangia fedha nyingi sana kwenda kusherekea sherehe ya watu ambao wataachana baada ya miezi mitano tu! Lakini mkimsomesha mdogo wenu atakuwepo zaidi ya miaka 30. Mi mwenyewe nafurahi kwani itapunguza watu kukimbilia kwenye arts kila siku. Kuna vyuo vingi vimeanzishwa na kozi zake ni arts tu,tutafika kweli?
 
...kadri sku znavyoenda wanaosoma art wanazdi kubanwa ktu ambacho knakatsha tamaa sio tu kwa wanafunz bali hata kwa wazaz pia ... kama art ingekuwa nyepes kusingekuwa na zero za art..so serikali iliangalie hili swala ....ikishndwa bas masomo ya art yafutwe ili tujue moja serikali haina akili

acheni ujinga,arts ni rahisi sana. Kama mtu anasoma mwaka mmoja na anakula tano ugumu uko wapi? Hao wanaopata zero ni vilaza tu. Himizeni watoto wenu wasome sayansi,siasa kila mtu anaweza kufanya! Ukienda shuleni siku hizi unakuta darasa la wanaosoma sayansi ni 15 kati ya 200!!...?? Ndo maana kila ukifungua tv unakutana na matangazo hk,...hg....na nyinginezo. Kama una hela mpeleke mwanao akasome art, lakini kama we ni maskini sisitiza mwanao asome sayansi.
 
Suala sio kufuta art, bali serikali imeona uhaba wa wanasayansi. We fikiria, hata kukamuliwa jipu, kukwanguliwa mba/fungus kichwani, kuvimbiwa wagonjwa wanapelekwa india.

asante kaka nafikiri tunaongea lugha moja. Hawa watu wa arts watajazana mitaani na kuwa matapeli wakikosa kazi ya kufanya. Huwezi kusoma sayansi na kukosa kazi ya kufanya. I was crying everyday, how cud we reverse the situation? Nafikiri huu ndo wakati wa bodi kuwa firm na kusimamia maamuzi.
 
Tatizo sio kwamba wanafunzi hawataki sayansi walimu wa sayansi hakuna o-level school zao lake wanafunzi wanakimbiria arts ambayo ukipewa notes unaweza soma na ukafaulu sio chemistry au physics, kuna shule ya kata mwakibete mbeya wanafunzi mpaka wanafika form 3 hawajapata mwalimu wa biology na physics sasa unategemea watachukua sayansi.
 
Acha uchuro,anza na walio weka coz hizo ndipo unene na wanao soma hizo coz .Kwa hiyo ww ukiwa waziri wa elimu utaweka sayansi tu au sio.Jipange bhana kabla haujaandika.
 
Nchi zote zilizoendelea swala la mkopo halihusu kozi. Afterall anayechukua mkopo atalipa at the end of day. Why introducing all these stringents. Ni aina fulani tu ya unyanyasaji. I advice these fellows to think back this decision and take a deep soul searching in what they are about to do.

Wanafunzi wanachagua kozi ambazo zina maslahi kwao. Attractive job packages ndio motivation ya mwanafunzi kuchukua sayansi au la, na sio kulazimisha mtu kuchukua kozi fulani eti kwasababu ndio mkopo unapatikana huko, what a joke?
 
Hapo mkuu SIJAELEWA VIZURI
 
WanaJF kama mmesoma tcu guideline book wameonesha kila kozi katika kila chuo pamoja na mkopo unaoweza kupata. na kwa mkopo ni kwa kozi za science tu kwa arts na biashara hakuna mkopo hata kama ni education kwa biashara na arts ni 50% tu inatolewa. Sasa najiuliza je migomo itaisha vyuoni????
Hebu weka wazi hapo ueleweke, hizi arts na biashara mkopo ni 50% au hamna kabisa?? umenichanganya hapo, andika ueleweke....................
 
Yani ni 50 au no loan non-priority kabisa,napendekeza bodi ifutwe tujue moja kama ni gharama au hii michepuo ya sanaa na biashara ifutwe na siyo kuendekeza utabaka,hakuna somo rahisi,isikie tu kwa watu hebu lisome tukuone

Mkuu USILINGANIAHE SCIENCE NA ART, PIA HESLB NDO WANATOA TAARIFA HIVYO KWA ARTS NA BIASHALA WAZAZI NI KUJIPANGA KULIPIA VIJANA WAO, SUBIRI ACSEE 2014 UONE SCIENCE ITAKAVYO JAA WATU NDO UTAJUA WABONGO HATUENDI BILA KULAZIMISHWA.
Nawasilisha
 
Serikali iangalie suala la kutoa elimu ya chuo kikuu bure ila qualification izingatiwe, isiwe ili mradi tu ufaulu.
 
Back
Top Bottom