TCRA yavitaka vituo vya redio, televisheni kuzingatia agizo la Waziri Mwakyembe

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,528
Barua yao hii hapa! Kwa hiyo wazee wa redio kaeni chonjo maana hawa jamaa hawanaga nanii..
Screenshot_2017-06-17-15-36-16.png
 
Tcra wanahusikaje na magazeti?? Wao werugalate contents,
Hayo magazeti pia yana fall kwenye category hiyohiyo ya content nadhani sasa magazeti yatauza angalau itabaki challenge ya mtandaoni,inaonekana kuna mtu wanamtafuta hawa sio bure
 
Back
Top Bottom