Clouds tunawapenda sana pamoja na kwamba huwa wanasoma vichwa vya habari harafu wana discuss inaweza kutafsiriwa kuwa wanasoma habari yote, bora waache kabisa kusoma Magazeti yaani wasisome hata vichwa vya habari kwa sababu inaonekana bashite anawatafuta kwa kupitia mlango wa mwakyembe na TCRAclouds wakae chonjo
Muoneni huyuSafi sana
Barua yao hii hapa! Kwa hiyo wazee wa redio kaeni chonjo maana hawa jamaa hawanaga nanii.. View attachment 525726
Hayo magazeti pia yana fall kwenye category hiyohiyo ya content nadhani sasa magazeti yatauza angalau itabaki challenge ya mtandaoni,inaonekana kuna mtu wanamtafuta hawa sio bureTcra wanahusikaje na magazeti?? Wao werugalate contents,
mtakoma,mlima mananasi wa msoga mlimuimba sanaIddy Amini Alianza hivi hivi.
Itapendeza hata taarifa za habari zote zikazuiwa.Barua yao hii hapa! Kwa hiyo wazee wa redio kaeni chonjo maana hawa jamaa hawanaga nanii.. View attachment 525726