TCRA yatangaza nafasi ya kazi ya mwandika hotuba GENEVA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,906
51,938
TCRA imetangaza nafasi ya kazi magazetini ya mwandika hotuba ofisi za ITU zilizoko Geneva uswisi kwenye gazeti la Raia mwema ukurasa wa Tano.Maombi yanatakiwa kutumwa TCRA

KAZI YENYEWE HIYO HAPO


ITU e-Recruit - Speechwriter (26P-2016/SG-SPM/EXTERNAL/P4)

Watanzania changamkieni.Yaani hata kuandika hotuba ulaya mtu ukatae kuomba? Ombeni ushindwe vyote hata kuandika hotuba huwezi? Mtanzania gani wewe? fursa hiyo
 
Back
Top Bottom