Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 585
- 906
Taifa Litajengwa na wenye moyo
Je ni utaratibu upi waliowekewa wanadiplomasia?!
Iweje kikundi cha watu wachache wawe na utaratibu wao ilhali wengi wanao wao Pia?
Nitakuwa sahihi kufanya nijiskiavyo sababu ya umoja wangu?
Tanganyika, Sanzibar (Tanzania) Ni nchi ambazo hazijitambui.
Hahaaaa acha tu Wazime wasengerema sana hawa kengeHawana uwezo wowote wa kuzima bali wanaleta mikwara tu.
Je ni utaratibu upi waliowekewa wanadiplomasia?!
Iweje kikundi cha watu wachache wawe na utaratibu wao ilhali wengi wanao wao Pia?
Nitakuwa sahihi kufanya nijiskiavyo sababu ya umoja wangu?
Tanganyika, Sanzibar (Tanzania) Ni nchi ambazo hazijitambui.
JF wachangiaji tutapungua sana! Simu/line zitazimwa!
Mimi ninachojua wageni wanapewa vitambulisho Lakini vinakuwa tofauti na raia wa Tz.Kweli ni vizuri tukawa na uelewa wa utaratibu uliowekwa kwa wanaDiplomasia na wageni wote ambao sio raia wa Tanzania