TCRA wanashindwa kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaoposti habari za uongo?

SULEIMAN ABEID

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
390
385
Inashangaza sana kuona TCRA wanashindwa kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaopost habari za uongo kwenye mitandao kwa lengo la kupata viewers wengi.

ANGALIA HII HABARI!

Screenshot_20211115-074903_1636951800306.jpg
 
Wapeni ajira waache kupost uzushi na uongo. Umeme mnakata hovyo, ajira hakuna, wamejiajiri imekuwa nongwa what the fvck.
 
Nchi haiwezi barikiwa hii hata wachungaji wakiombea kwa machozi kwa sababu watu wanachomewa biashara zao wanapewa kesi za kusingiziwa ,watu wanafanya ngono kwenye meza za ofisi za umma.

Suala la TCRA kufuatiria hayo makosa ni uzembe uliokisiri kwenye taasisi za umma
 
Wewe ni mmoja wa wasioamini katika uhuru wa maoni na habari pamoja na utawala wa sheria, pia upo lilekundi kukosolewa kwao ni tusi.
 
Hii Phoenix hii!

Mi shaiondoa kitambo hiyo app, habari zake zote ni za uongo.

Ninadhani Tcra ni wanufaika, isingelikuwa ni hivyo tayari wangelikuwa wameisha chukua hatua madhubuti kitambo kukomesha upumbaf huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashangaza sana kuona TCRA wanashindwa kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaopost habari za uongo kwenye mitandao kwa lengo la kupata viewers wengi.

ANGALIA HII HABARI!

View attachment 2010929
Huhitaji Akili Kubwa sana kujua ya kwamba huenda Yeye ( Rais ) Samia akadhani kuwa anapendwa zaidi kuliko Hayati Rais Dkt. Magufuli ila Ukweli uliopo ni kwamba ndiyo anayechukiwa zaidi tena na Watu wa Chama chake Tawala na hata wale waliopo ( aliowakuta ) huko Serikalini.

Na wanachokifanya sasa ni Kumchomesha ( Kumuhujumu ) ili wamkomoe, aharibikiwe na 2025 iwe Ngumu Kwake ( japo najua atatumia sana ) Nguvu ya Dola na ya Ushawishi kwa wana Jinsia yake Kukubalika na Kupita kwa Kupigiwa Kura tofauti na ilivyo sasa ambapo ni Rais 'Deiwaka' tu kutokana na Kubebwa zaidi na Takwa Kuu la Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom