TCRA, wanaotumia simu za TTCL wanahakiki vipi simu zao?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,674
1,685
Wakuu, kama tunavofahamu tarehe 16 mwezi huu ndo mwisho wa matumizi ya cm feki, kwa mujibu wa TCRA. mie ninatumia cm yenye CDMA ya kampuni ya TTCL, tokea tangazo la kusitisha matumizi ya cm feki nimejaribu mara kwa mara kuhakiki cm yangu kupitia *#06# na kupata jibu lakini namba nikiituma kwenda 15090 jibu silipati sasa muda ndo unakaribia nifanyeje? Na hii inaonesha ni kwa kampuni ya TTCL tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom