tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,114
Kwanza samahan wadau wa siasa kwa kuleta mada hii sehem hii lakn maisha ni siasa!! Ni pili sehem hii ya siasa ndio hutembelewa na watu wengi ni fursa kutolea elim kwa jamii. Naenda kwenye mada husika sasa.
TCRA tangu wametangaza kuzima simu feki raia wengi wanapata shida kwa kukosa mawasiliano kwa kuzimiwa simu zao , mm nikiwa mmoja wao baada ya kuzimiwa iphone yangu original. Weng mnaweza kupinga kwa kudhan iphone yangu inaweza pia kuwa feki . Naweza kuwahabarisha kuwa mm ni mdau katika tasnia ya mawasiliano na hasa upande wa simu . Kuthibitisha hilo nawapa link ambayo mnaweza kuitumia kuchek simu zenu kama fek au org!
Check IMEI - IMEI.info
Sasa kama wamezima iphone yangu na kuita fek je wenye simu aina zingine je? Wanaojua iphone watakubaliana na mm kwamba hakuna simu isioingiliwa kama iphone . Iphone iko moja tu dunian coz imei namba haibadilishiki kwa njia yeyote. Hapa naandika kupitia hiyo kwan zilizo nying huzimwa network na kuacha internet ikawa inafanya kaz . Ila kupiga huwez.
Nitoe elim kidogo kwa wananchi wenzangu, TCRA wameanza hii kaz bila kujipanga vyema na hivyo kupitia mawakala wao wa mitandao husika wanazima simu bila kubagua simu fek wala orginal. Lejea nimekwambia ni mdau katka tasnia hii , hivyo nimepokea malalamiko mengi ya raia kuzimiwa simu zao na nimeziona simu nying orgnal zikiwa zimezmwa .
Nimeona samsung Tecno na ........! Ila ajabu zaid baada ya kuona hata iphone at ni feki!!!! Usione ajabu simu fek inadunda orgnal imezma japo hata fek zingine zimezmwa. Ni kama anayezima anaselect all na kuzima pasipo kuchambua ip azme ipi iwe hai. Yaan anatumia mfumo wa delete all.....
Nitoe wito kwa TCRA wakae chin na makampun ya simu maana kupitia uzmaji wa simu ni kama wengine wameona fursa wa kuuza bidhaa zao . Kwa mfano Tigo ndio huongoza kwa kuzma simu za watu ili uende shop kwao wakuuzie simu nyingine na wakupe na matangazo mengne. Wanakwambia tupa mle kwenye box la takataka lete hela tukupe simu nyingine.
Chonde chonde tizamen upya mfumo wenu wa uzmaji simu mnatesa raia hata wenye simu orgnal. Mm najielewa cna presha je kwa wasiojielewa!
Na wewe kama umezimiwa simu yako orgnal nenda mamlaka husika maana sio sm zote zmezmwa ni fek. Na kama pia ni mhanga lete maon yako hapa tuokoe wengine.
Je ww hujapata shida na simu yako original ???ushahid huu hapa!!!!!??