TCRA wachukulieni hatua kali KALOMBA TV

nyundo2017

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,358
2,000
Habari,

KALOMBA TV wamekuwa wanapost habari/za uongo kila kukicha zikiwa na vichwa vya habari tofauti na yaliyomo.

Hali hii inakera sana haina haja TCRA kusubiri hadi wananchi walalamike wakati macho mnayo au mnawaogopa.

Kila mara mnawafungia Clouds na Tv nyinginezo wakati hawa wajinga wanafanya upuuzu huu mnaangalia tu.

Wachukulieni hatua kali liwe fundisho kwa wengine pia wenye tabia za kukera ukizingatia TCRA ndiyo mmewasajili na mnamawasiliano yao.

Namba yao waliyoweka hewani ni 0672425445 ambayo hawapokei kwavile wanajua ujinga wao.

Nimeweka habari zao ambazo haziendani na vichwa vya habari. View attachment 1660062 View attachment 1660063
 
Jeh

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
4,944

Mbinu mpya ya kutangaza ka-TV kako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom