Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Salaam jf.
Wakuu nimetumiwa SMS na kampuni mojawapo ya simu za mikononi inayosema hivi;
"Kuanzia tare he 16 June simu BANDIA zitafungiwa kwa mujibu wa TCRA, angalia kama simu yako si bandia. 1. Angalia IMEI piga *#06# iandike pembeni 2. Tuma IMEI kwenda 15090". Swali la kujiuliza.
1. Kwanini utume imei kwenda ktk makampuni ya simu za mikononi?
2. TCRA haina uwezo wa kupata imei za raia wake technically?
3. TCRA ni chombo kilichokuwa kikali kikatiba lakini kukosa miundombunu?
4. TCRA haikuwahi kudukua simu za RAIA wake?
5. Hii si Agenda ya Us kuifanyia sabotage taifa la China?
6. Simu bandia hazidukuliki?
7. Privacy zetu zipo salama?
8.Raia tuwe na imani na serikali?
9. Simu bandia ndio simu aina gani?.
Mtoto hana busara.