TCRA tafadhali tafadhali

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Natumai hamjambo,jamani nyie watu wa mamlaka ya mawasiliano mnatatizo gani? Mbona hamjibu email zangu ninazowatumia,wala PM zangu,wala kunijibu kupitia kwenye page yenu ya Fb?
 
hawana kitu hao....meno yameoza.....hooo kufikia saa kumi star tv warudi star times lakini waaapi...kubwa zima kibogoyo then lakomba nyama ya mifupa
 
Back
Top Bottom