live on
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 790
- 1,264
Mi kwa mtazamo wangu sheria nyingi za TCRA huwa zinawekwa kwa ajili ya kusumbua raia wema.
Kama ilivyokuwa katika usajili wa alama za vidole walioteseka ni raia wema tu wahalifu walikaa kimya na baada ya zoezi kuisha wanaendelea na uharifu wao kama kawaida.
Sasa mnaanza kutuletea shida nyingine sisi raia wema wakati mlitoaga maelekezo ya mtu kufuta laini zote zilizosajiliwa kwa kitambulisho chake ambazo hazitambui na tumefanya hivyo kwa hiyo hivi sasa laini zangu zote nazitambua sasa shida ipo wapi.
Mkubali mkatae nyinyi mliopewa hicho kitengo uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo.
Na ndio maana. Mlizima local channel baadaye mkazirudisha.
Mmelazimisha watu wasajili kwa alama za vidole ili kuzuia uharifu lakini cha ajabu hao waharifu bado wapo na watu wanaibiwa kila siku na nyinyi mnalijua hilo.