Kwa kweli mtandao huu ni kero kero kubwa sana kutokana na meseji zao za kuhamasisha bahati nasibu. Meseji hizi kwa siku ni zaidi ya ishirini hadi usiku wanatuma, mtu unashindwa hata kulala. TCRA mko wapi? Baadhi wa watu wamediriki hata kuondoa sim card za Tigo kwenye simu zao kuondokana na usumbufu huu na kuhamia mitandao mingine.
TCRA naamini mtachukua hatua!
TIGO ni kero kwa sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
TCRA naamini mtachukua hatua!
TIGO ni kero kwa sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app