TCRA: Polepole Tv ina mapungufu ya kutokuwa na wafanyakazi wenye taaluma ya uandishi na utangazaji habari

Yes hvo vyote vipo, makato hayakwepeki hizi si ndo sera zenu Wana ccm miaka 60 ya uhuru nchi haeleweki siku zinavozidi kwenda heri ya jana

Sijawahi kuwa CCM, Nipo zaidi kwa maslahi ya Taifa.

Wewe uko zaidi kichama, kiitikadi, kikabila, kinabinafsi.

Ukiwa neutral utajua ungekuwa maskini, kijijini elimu bure imefanya nini, vituo vya afya, barabara, masoko ya madini, kumpa fursa mchimbaji mdogo.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom