TCRA nimechoka kutumiwa meseji na matapeli

kagombe

JF-Expert Member
Mar 1, 2015
3,508
1,641
TCRA hivi awa jamaa amuwaoni wanaotutumia sms or kutupigia simu Bila idhini yetu?binafsi nakereka sana nionapo sms or call za ovyo Kama hizi
Screenshot_20210719-231225.jpg
 
Aliye mtapeli wazir wa ulinzi aliishaaaa

Ova
Just imagine waziri wa ulinzi anatapeliwa kindezindezi. Eti waziri mzima hawezi kujiridhisha Kama jamaa Ni karibu mkuu au mjinga Fulani tu wa Tandika.
Sasa wangempigia waziri wa elimu, au waziri wa TAMISEMI si wangenunua semi kabisa.
Anyway hao ndio mawaziri tulionao
 
Aliye mtapeli wazir wa ulinzi aliishaaaa

Ova
Mpaka wanafanikiwa kumtapeli waziri wa ULINZI inamaana walishawatapeli Hawa kina Dada Joy, kina Simbachawenyewe, kina Dada Doro na wabunge wengi tu akiwemo babu taletale
 
Back
Top Bottom