sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,539
- 9,462
Haya mambo ya bongo mie yamenifika utocini. Hili suala la kila kituo cha television kuwa na kingamuzi chake imekaaje..? leo kama unataka kuangalia vituo vitatu tofauti vya luninga inabidi uwe na vingamuzi vtatu tofauti.. ukitaka kuangalia ATN inabidi uwe na kingamuzi cha Ting.. ukitaka kuangalia TBC inabidi uwe na kingamuzi cha Star media.. ukitaka kuangalia ZUKU inabidi uwe na kingamuzi cha Zuku.. vingamuzi hivi bei yake imeenda shule.. minimum price ni shs 100,000/=.. kulipia kwa mwezi hivyo vingine cielewi bt kwa Star media najua unalipa 18,000/=.. kwa hiyo ili kuweza kupata hizo station 3 inabidi utoe c chini ya shs 300,000.00 za kitanzania kwa ajili ya vingamuzi vitatu.. kisha utafute hela ya kulipa kwa mwezi ambayo kwa hesabu ya chini ni shs. 30,000.00 kwa mwezi..
Sasa swali kwa TCRA mkiwa kama ndo regulator.. kwanini wacingeamua kuwa na kampuni moja 2 ya kuhucika na urushaji wa matangazo toka kwenye vituo vya luninga tofauti..? hivi kweli wananchi (mie namba moja) tutaweza kweli kumudu gharama za kununua vingamuzi zaidi ya kimoja..? halafu ki2 kingine kweli hii kazi ya kuchomoa na kuchomeka waya wakati unataka kubadilisha station nyingine ya kwenye kingamuzi kingine.. inatustahili..?
Kama kuna staff wa TCRA humu naomba anijuze au ndo ule msemo tena kama huna hata kidogo kitachukuliwa..?