TCRA na Waziri Ndugulile, wanyonge mliotuumiza jana tunahitaji tu kupata majibu ya haya maswali yetu

Kifurushi cha voda cha 1000 SMS kwa mwezi kimekuwa 1500
Hali ni mbaya sana kwa Tigo, Airtel na Halotel. Bora nibaki Voda tu maana huko kwingine hali inatisha sana
Naomba nitajie code ya kujiunga na bundles za Voda. Nina line yao ili sijui service code
 
nae kasema wanyonge walioumizwa jana, naye asituite watz wanyonge. mimi binafsi na familia yangu na jamaa zangu siyo wanyonge licha ya kuwa kuna siku nakula mlo mmoja.

Sasa kama huna Unyonge ( siyo Mnyonge ) katika Uzi wetu huu Wanyonge unafanya nini? Kuna Watu ni Wapuuzi mno hapa Jamvini.
 
1. Baada ya Kuamuru jana kuwa Vifurushi vya zamani virejeshwe na viendelee je, ni Saa ngapi hilo litafanyika kwani mpaka sasa bado havijabadilika?

2. Je, wale ambao Jana walinunua Vifurushi vyenu vya Ukatili na Kutukomoa mtawasaidiaje na kuwafidia kutokana na Upuuzi wenu?

3. Ni Saa ngapi Waziri Ndugulile na Mkurugenzi (Boss) Mkuu wa TCRA mtatangaza Kujiuzuru kwa Mateso ya Kimakusudi mliotupa Watanzania Wanyonge (Masikini) jana?

Ninayasubiri haraka sana Majibu yenu.
Dah
Sidhani kama sauti yako inavuka hata ukuta......
Mpaka wakujibu kama utakavyo ww

Pole sana Chief
Bado tuna masaa 74 ya kusubiri mabadiliko
 
1. Baada ya Kuamuru jana kuwa Vifurushi vya zamani virejeshwe na viendelee je, ni Saa ngapi hilo litafanyika kwani mpaka sasa bado havijabadilika?

2. Je, wale ambao Jana walinunua Vifurushi vyenu vya Ukatili na Kutukomoa mtawasaidiaje na kuwafidia kutokana na Upuuzi wenu?

3. Ni Saa ngapi Waziri Ndugulile na Mkurugenzi (Boss) Mkuu wa TCRA mtatangaza Kujiuzuru kwa Mateso ya Kimakusudi mliotupa Watanzania Wanyonge (Masikini) jana?

Ninayasubiri haraka sana Majibu yenu.
Ndugulile alitumbuliwa Wizara ya Afya, naona hajajitambua.
 
Je tutafika? Bei ya bando inaua.
 
1. Baada ya Kuamuru jana kuwa Vifurushi vya zamani virejeshwe na viendelee je, ni Saa ngapi hilo litafanyika kwani mpaka sasa bado havijabadilika?

2. Je, wale ambao Jana walinunua Vifurushi vyenu vya Ukatili na Kutukomoa mtawasaidiaje na kuwafidia kutokana na Upuuzi wenu?

3. Ni Saa ngapi Waziri Ndugulile na Mkurugenzi (Boss) Mkuu wa TCRA mtatangaza Kujiuzuru kwa Mateso ya Kimakusudi mliotupa Watanzania Wanyonge (Masikini) jana?

Ninayasubiri haraka sana Majibu yenu.
No.3 weka kwa wino mzito, hatutaki kuwaona ofisini watu wasiojua maumivu ya watanzania.
 
Tuacheni Kuteua Watu walio Wagonjwa.
Ndugulile anaumwa nini. Mimi ninachojua ni mwanaume mwanaharakati asiyejua anachopigania. Kule kwao Kigamboni kuna mipango ya hovyo sana ya mji huo. Mara wanataka kutengeneza eneo la gereji, mara mji wa Kisasa, mara kila kitu gani sijui.... Lakini hakuna kinachokamilika. Leo kapewa TEHAMA kila siku mitandaoni kumbe anakula bingo la vifurushi. Aondoke tu mimi sitaki hata kumsikia.
 
Back
Top Bottom