King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,643
- 68,578
Mama amsaidie Ndugulile
Kabisa ndugulile asaidiwe kwa kweli maana "MABEGA YAMEPANDA JUU" na Zege halitakiwi kulala...Tutaonana J4.
Mama amsaidie Ndugulile
Dah Jana nimenunua GB 3 kwa elfu10!!!!
Wewe usiite Watanzania wanyonge, usicheze mziki wa mwendazake ile ilikuwa propaganda ya yeye kujikita kwenye himaya ya TZ, kama ambavyo alikwa anasema nchi hii ni tajiri.Wanyonge poleni sana..
Soma heading ya mtoa madawewe usiite watz wanyonge, usicheze mziki wa mwendazake ile ilikuwa propaganda ya yeye kujikita kwenye himaya ya TZ, kama ambavyo alikwa anasema nchi hii ni tajiri.
nae kasema wanyonge walioumizwa jana, naye asituite watz wanyonge. mimi binafsi na familia yangu na jamaa zangu siyo wanyonge licha ya kuwa kuna siku nakula mlo mmoja.Soma heading ya mtoa mada
Naomba nitajie code ya kujiunga na bundles za Voda. Nina line yao ili sijui service codeKifurushi cha voda cha 1000 SMS kwa mwezi kimekuwa 1500
Hali ni mbaya sana kwa Tigo, Airtel na Halotel. Bora nibaki Voda tu maana huko kwingine hali inatisha sana
Dah Jana nimenunua GB 3 kwa elfu10!!!!
nae kasema wanyonge walioumizwa jana, naye asituite watz wanyonge. mimi binafsi na familia yangu na jamaa zangu siyo wanyonge licha ya kuwa kuna siku nakula mlo mmoja.
Naomba nitajie code ya kujiunga na bundles za Voda. Nina line yao ili sijui service code
Dah1. Baada ya Kuamuru jana kuwa Vifurushi vya zamani virejeshwe na viendelee je, ni Saa ngapi hilo litafanyika kwani mpaka sasa bado havijabadilika?
2. Je, wale ambao Jana walinunua Vifurushi vyenu vya Ukatili na Kutukomoa mtawasaidiaje na kuwafidia kutokana na Upuuzi wenu?
3. Ni Saa ngapi Waziri Ndugulile na Mkurugenzi (Boss) Mkuu wa TCRA mtatangaza Kujiuzuru kwa Mateso ya Kimakusudi mliotupa Watanzania Wanyonge (Masikini) jana?
Ninayasubiri haraka sana Majibu yenu.
Ndugulile alitumbuliwa Wizara ya Afya, naona hajajitambua.1. Baada ya Kuamuru jana kuwa Vifurushi vya zamani virejeshwe na viendelee je, ni Saa ngapi hilo litafanyika kwani mpaka sasa bado havijabadilika?
2. Je, wale ambao Jana walinunua Vifurushi vyenu vya Ukatili na Kutukomoa mtawasaidiaje na kuwafidia kutokana na Upuuzi wenu?
3. Ni Saa ngapi Waziri Ndugulile na Mkurugenzi (Boss) Mkuu wa TCRA mtatangaza Kujiuzuru kwa Mateso ya Kimakusudi mliotupa Watanzania Wanyonge (Masikini) jana?
Ninayasubiri haraka sana Majibu yenu.
At least kule alitumbuliwa kwa kutoa tamko kwamba "Kujifukiza siyo tiba ya korona, ila utaunguza njia ya hewa"Ndugulile alitumbuliwa Wizara ya Afya, naona hajajitambua.
i think all Tanzanian do nowFAUSTINE NDUNGULILE, I💔HATE YOU
Ndugulile alitumbuliwa Wizara ya Afya, naona hajajitambua.
No.3 weka kwa wino mzito, hatutaki kuwaona ofisini watu wasiojua maumivu ya watanzania.1. Baada ya Kuamuru jana kuwa Vifurushi vya zamani virejeshwe na viendelee je, ni Saa ngapi hilo litafanyika kwani mpaka sasa bado havijabadilika?
2. Je, wale ambao Jana walinunua Vifurushi vyenu vya Ukatili na Kutukomoa mtawasaidiaje na kuwafidia kutokana na Upuuzi wenu?
3. Ni Saa ngapi Waziri Ndugulile na Mkurugenzi (Boss) Mkuu wa TCRA mtatangaza Kujiuzuru kwa Mateso ya Kimakusudi mliotupa Watanzania Wanyonge (Masikini) jana?
Ninayasubiri haraka sana Majibu yenu.
At least kule alitumbuliwa kwa kutoa tamko kwamba "Kujifukiza siyo tiba ya korona, ila utaunguza njia ya hewa"
Ndugulile anaumwa nini. Mimi ninachojua ni mwanaume mwanaharakati asiyejua anachopigania. Kule kwao Kigamboni kuna mipango ya hovyo sana ya mji huo. Mara wanataka kutengeneza eneo la gereji, mara mji wa Kisasa, mara kila kitu gani sijui.... Lakini hakuna kinachokamilika. Leo kapewa TEHAMA kila siku mitandaoni kumbe anakula bingo la vifurushi. Aondoke tu mimi sitaki hata kumsikia.Tuacheni Kuteua Watu walio Wagonjwa.
I learn i have to implement associative arrays myself. Oh sad felicity.