TCRA na Tume ya ushindani mikataba mpo wapi haki za walaji

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,611
13,160
Yapo baadhi ya makampuni ya simu yanatoa mikopo huduma za kifedha kwa mashariti kumnyonya mlaji.
Rejea mfano Shariti huduma Songesha, mteja anapewa mkopo ukiwa na ada na riba siku 30! Wanaita OD, overdraft! Ndipo tatizo lilipo badala kusubiri siku 30 ! Wizi upo wapi? Endapo utaomba OD hiyo..songesha kukamilisha, wao watakata pesa yote yenye hesabu ya mwezi, muamala utakaoingia katika Akaunt yako, hata baada ya dk moja.
Screenshot_20200423-042458.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kopa na usilipe, wanatunyonya sana. Ukisubiri serikali utaumia maana sasa yanaangaliwa mapato tu bila kujali yanakujaje. Na hao ni voda tu makampuni mengine hawako hivyo.. Hama.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom