Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Ahahahahahaha! ama kweli wajinga hawaishi duniani..... Advertisement, maana yake ni Tangazo, haijaalishi category ya tangazo, wazungu wanaita campaign ads!

Aibu kabisa eti tangu lini mambo ya wanasiasa yakawa matangazo? Yale mabango ya barabarani ya wagombea sio matangazo? AU wewe unafikiri tangazo liwe la kunywa soda tu?
Ndio ctaki huo upumbavu wa wanasiasa bila consent yangu, ctaki kabisa that's simple hayo maelezo mengine ni useless kwangu hayana nafasi.
 
Huko ni kuingilia uhuru wa watumiaji wa simu, wanajua kabisa wateja wao watakuwa na itikadi tofauti kwanini watume meseji za kumpigia kampeni mgombea wa CCM?

Kuna wajinga watasema ni haki yao kwasababu CCM wamelipia, watambue CCM wamewalipa hao wenye makampuni ya simu hawajawalipa watumiaji, haya mambo ya kujipendekeza kwa CCM yakome, wanastahili kushtakiwa.
Jiongeze tu, Hayo makelele ya kampeni tunayosikia huko barabarani sio kuingilia uhuru wa mtu!?.
Unataka iwe kwamba kila mgombea awafuate wale wa chama chake au wale wanaompenda tu!?, kama mtu kakuomba kura kwa message ni jukumu lako wewe kukataa kama huridhiki na huyo mgombea huu ni wakati wa kampeni.

Mwambieni huyo Tundu naye akaturushie tu hayo mamessage haidhuru.
 
Huwa mnasoma Terms & Conditions za hiyo mitandao kabla ya kujiunga? Vipi privacy policy huwa mnasoma pia? Kila kitu wameandika kwenye zile karatasi za simcard na kwenye websites zao. Kitendo cha kununua simcard zao na ku-activate maana yake ume-AGREE terms na conditions zao so umekubaliana na meseji zozote za promo watakazokutumia.

NB: Kabla haujaenda kuwashtaki soma vigezo na masharti ya mtandao husika, Usije ukageuziwa kibao ukafungwa wewe badala ya kampuni.
Safi sana umekumbusha kitu muhimu sana
 
Nimeenda kushitaki ninafungwa kwa kosa gani?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Ina maana umma wote ule ulikuwa umelipwa? maana bora ingekuwa mvua wakati inanyesha wengine waliondoka na hao waliyobaki kunyeshewa ndio tuseme walifanya hivyo kwa sababu walilipwa.
Mkuu ukishangaa ya Magu utayaona ya Mbatia.
Kuna mjumbe alikua na list yake kabisa. Kahakikisha watu wake wapo pale yeye kasepa mwanae alikua anaumwa
 
Back
Top Bottom