Enlightening
Senior Member
- Oct 14, 2020
- 168
- 173
Hawa machoko wakinitumia SMS ya hivi nawashitaki
Hawa machoko wakinitumia SMS ya hivi nawashitaki
Mimi sijapata hiyo takatakaWahi chapu
Ndio ctaki huo upumbavu wa wanasiasa bila consent yangu, ctaki kabisa that's simple hayo maelezo mengine ni useless kwangu hayana nafasi.Ahahahahahaha! ama kweli wajinga hawaishi duniani..... Advertisement, maana yake ni Tangazo, haijaalishi category ya tangazo, wazungu wanaita campaign ads!
Aibu kabisa eti tangu lini mambo ya wanasiasa yakawa matangazo? Yale mabango ya barabarani ya wagombea sio matangazo? AU wewe unafikiri tangazo liwe la kunywa soda tu?
Jiongeze tu, Hayo makelele ya kampeni tunayosikia huko barabarani sio kuingilia uhuru wa mtu!?.Huko ni kuingilia uhuru wa watumiaji wa simu, wanajua kabisa wateja wao watakuwa na itikadi tofauti kwanini watume meseji za kumpigia kampeni mgombea wa CCM?
Kuna wajinga watasema ni haki yao kwasababu CCM wamelipia, watambue CCM wamewalipa hao wenye makampuni ya simu hawajawalipa watumiaji, haya mambo ya kujipendekeza kwa CCM yakome, wanastahili kushtakiwa.
Okay... inawezekana labda walijisajiliUkiona wameandika jina lako ujue ulicheza. So kuna hizo alafu kuna ambazo haujacheza ila wanatuma kama promo ili ucheze, Zinakua hazina jina lako.
Jinga wewe umejaza kamasi kwenye hilo fuvu lakoHa ha ha ...Magufuli ni kama maji usipoyanywa utayaoga....
Ameshajua wa tz walio wengi hawamtaki ndio maana anatumia nguvu kubwa
Ha ha ha ...Magufuli ni kama maji usipoyanywa utayaoga....
Safi sana umekumbusha kitu muhimu sanaHuwa mnasoma Terms & Conditions za hiyo mitandao kabla ya kujiunga? Vipi privacy policy huwa mnasoma pia? Kila kitu wameandika kwenye zile karatasi za simcard na kwenye websites zao. Kitendo cha kununua simcard zao na ku-activate maana yake ume-AGREE terms na conditions zao so umekubaliana na meseji zozote za promo watakazokutumia.
NB: Kabla haujaenda kuwashtaki soma vigezo na masharti ya mtandao husika, Usije ukageuziwa kibao ukafungwa wewe badala ya kampuni.
Unachokonolewa njia yako ya kutoa mashuduWazee wakulia lia kama mitoto ya Ndege
Shida nini Wengine mnajidanganya eti Tuka shtaki wapi hahahaha
Nendeni si mmekosa Kazi
MAGUFULI MITANO TENA
Sio kwamba wamefanya matangazo na mitandao ya simu wakalipia huduma, hata wewe unaweza kufanya
Nimeenda kushitaki ninafungwa kwa kosa gani?Huwa mnasoma Terms & Conditions za hiyo mitandao kabla ya kujiunga? Vipi privacy policy huwa mnasoma pia? Kila kitu wameandika kwenye zile karatasi za simcard na kwenye websites zao. Kitendo cha kununua simcard zao na ku-activate maana yake ume-AGREE terms na conditions zao so umekubaliana na meseji zozote za promo watakazokutumia.
NB: Kabla haujaenda kuwashtaki soma vigezo na masharti ya mtandao husika, Usije ukageuziwa kibao ukafungwa wewe badala ya kampuni.
Mkuu ukishangaa ya Magu utayaona ya Mbatia.Ina maana umma wote ule ulikuwa umelipwa? maana bora ingekuwa mvua wakati inanyesha wengine waliondoka na hao waliyobaki kunyeshewa ndio tuseme walifanya hivyo kwa sababu walilipwa.
Pia kuna matapeli wanatumia fursa kuna moja lilinipigia likajieleza eti linakusanya michango ya chadema kupitia namba hii nikajua ni tapeli tu
Nipe namba ya promotion ya jiwe ili nimblock kabla hawajanitumia ujinga waoHatuwezi tukawapa wahuni namba za viongozi wetu.